RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

Amos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
Mtoto wa mjini maana yake ni nini? Mtoto wa mjini nani?

Na kuwa mtoto wa mjini kunasaidia nini kiutendaji au kisiasa?
 
Amos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
Kama wewe ni mtu mzima na umeandika haya ni aibu sana
 
Anajua watoto wa mjini hawafi!
Huyo kichwa maji msamehe bure!
Muhimbili wakufa watoto wa shamba tu!😂😂
Akili sio kuwa na kichwa tu!
Wewe utakua umezaliwa na unaishi ikulyamabambashi ndo maana huna akili ya kufungua codes shwaini.
 
Ila jamaa anachanganya habari hatari. sasa hali hyo kaandika akifurumua kutoka kichwani si ndo balaa, mana anaweza maliza kuhutubia hakuna aliye elewa. Kazi ipo

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Wanabongo km mleta mada akili zenu ni mana! niiii,, haya kma...vima............akija mchapakazi km Bashite,sokoine basi mtalia weeeee!! km mitoto yatima isiyo na Meno!! sijui nini??

akija Mpoleee mnamuona Mburulaaa!! jinga, halijui kuongea, km huyu wa sasa!! sasa hata sijui mnataka nini nyie nyau!!...mnafaa kubaguliwa kwa sana tu! ndo stahili yenu!

Mkoloni arudi tu!! ndo nawashauri msikie!! akija yule mkoloni hataki ujinga km huu!! wooote wapiga soga km mleta Mada mnarudi kwenu kijijini tena siyo centre ya kijiji,,,hukooo mpakani mwa kijiji, ili ukacheke na nyani vizuri!

Ukija mjini/jijini unabeba Pass port yako ya kuingia jijini! maarufu km (DOMPASS), na useme sehemu utakazo tembelea muda na saa! kujifunza au Biashara! ya mtajigani mkubwa!

Mzigo wa ujinga km huu wa mleta mada, utapungua sana kwa sisi wana jiji!! lkn hivi tutasumbuana sana, Halafu Moderator Mshauri Mkurugenzi, wana DSM na Diaspora tu tuwe na jukwaa letu tu Maalumu!!!!

Ubaguzi wa hali za uchumi/Elimu/uelewa/usmartni/urembo/utanashati nk! suala La lazima haliepukiki!! ndo ivo hata Mbinguni Malaika wanaishi na kupeta kwa viwango!!

Km hujui Maserafi na Makerubi(cherubians) na wale Wazee 24, hawa wako karibu saaana na utukufu wa Kiti cha Enzi! daima dumu!! ni tofauti sana na hawa Malaika walinzi wetu wanaotumwa tumwa huku Duniani!

Naomba na nina wataka Malaika walinzi wetu Msihasi wala kukufuru!! make mnanisikia huko mliko!....ewe Malaikas chekeni tu muwezavyo lkn ukweli ndo huo!
 
Watoto wavijijini na washamba hawawezi kuelewa... ndo maana wamekuja na mapovu na ndo maana wanalizwa mjini kizembe akiwemo mjomba wao wa chato.
Tujivunie nini nyinyi watu wa Kwa mtogole.?

Ulaji wa chips na kukata mauno kama midemu miuza Naniliu?

Wanaume wa dar mnamatatizo na msijue nini chanzo, wavaa bukta na vipenzi pumbavu zenu
 
Kufa kupo ila kufa kizembe ni ujinga hasa kwa mtu kaliba ya jiwe.
Hakuna kifo cha kizembe, ohooo. kila anayekufa ukipata story yake utaona uzembe,maana anayekufa na malaria utasema mzembe kwa nn hakutumia chandarua.
Anayekufa kwa ajali utasema kwa nn hakuwa makini barabaranj
Atayekufa kwa kansa utasema kwa nn hakuacha kutumia kemikali

Mwisho mwema tuombe. Karibuni nimempoteza rafiki yangu wa karibu sana tulikua pamoja na kusoma pamoja. Toka hapo nakiogopa na kukiheshimu kifo
 
Wanabongo km mleta mada akili zenu ni mana! niiii,, haya kma...vima............akija mchapakazi km Bashite,sokoine basi mtalia weeeee!! km mitoto yatima isiyo na Meno!! sijui nini??

akija Mpoleee mnamuona Mburulaaa!! jinga, halijui kuongea, km huyu wa sasa!! sasa hata sijui mnataka nini nyie nyau!!...mnafaa kubaguliwa kwa sana tu! ndo stahili yenu!

Mkoloni arudi tu!! ndo nawashauri msikie!! akija yule mkoloni hataki ujinga km huu!! wooote wapiga soga km mleta Mada mnarudi kwenu kijijini tena siyo centre ya kijiji,,,hukooo mpakani mwa kijiji, ili ukacheke na nyani vizuri!

Ukija mjini/jijini unabeba Pass port yako ya kuingia jijini! maarufu km (DOMPASS), na useme sehemu utakazo tembelea muda na saa! kujifunza au Biashara! ya mtajigani mkubwa!

Mzigo wa ujinga km huu wa mleta mada, utapungua sana kwa sisi wana jiji!! lkn hivi tutasumbuana sana, Halafu Moderator Mshauri Mkurugenzi, wana DSM na Diaspora tu tuwe na jukwaa letu tu Maalumu!!!!

Ubaguzi wa hali za uchumi/Elimu/uelewa/usmartni/urembo/utanashati nk! suala La lazima haliepukiki!! ndo ivo hata Mbinguni Malaika wanaishi na kupeta kwa viwango!!

Km hujui Maserafi na Makerubi(cherubians) na wale Wazee 24, hawa wako karibu saaana na utukufu wa Kiti cha Enzi! daima dumu!! ni tofauti sana na hawa Malaika walinzi wetu wanaotumwa tumwa huku Duniani!

Naomba na nina wataka Malaika walinzi wetu Msihasi wala kukufuru!! make mnanisikia huko mliko!....ewe Malaikas chekeni tu muwezavyo lkn ukweli ndo huo!
Umeharibu Kila kitu hapa!
Unamlinganisha vipi Sokoine na huyo bashite wako mlanguzi wa vyeti?

Makonda alikuwa msanii na jambazi tu...hakuna kiongozi hapo!
 
Back
Top Bottom