Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿

Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay akifatiwa na Diamond.

Baada ya hapo anafatia Mbosso, then Zuchu alafu wa tano Harmonize.

View attachment 2236054
Hiyo boomplay ikoje sijawahi ifahamu..
 
Jay z “ I ain’t got billion streams I got billion dollars” kwenye ngoma ya meek mill “what’s free”… sifa nyingine ni sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom