MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,924
- 8,911
Leta hapa na Only one kingView attachment 2237068
View attachment 2237069
Hapo kuna mtu kamzidi mwenzie likes ila kuuza bado sana pamoja na kutumia jina la kajala Ila bado anakimbizwa.
Nb: Hizo ni projects zao za mwisho, mmoja Ep ya nyimbo 9 mwingine ana album yenye nyimbo 20 zingine za kumtukana chui na simba.