Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,303
- 2,853
Binafsi siyo msomaji wa magazeti ya udaku, ila leo asubuhi wakati naangalia gazeti la kununua ndipo nimeona habari inayowahusu Ray au VINCENT KIGOSI pamoja na wenzake akina JOHARI.
Picha zao ziko ukurasa wa mbele kwenye gazeti la KIU wakiwa wamevalia mavazi ya kikatoliki, ila sijajua kama ni habari ya kweli au ya kutungwa.
Pia kwenye maelezo yao wanasema Wakatoliki wanapanga kuandamana, kama ni kweli sioni haja ya kuandamana kwa ajili ya mtu kama RAY, bali aombe msamaha au watafutwe wachapwe viboko