Ray Kigosi akiwa na mwanae Jayden!

Ray Kigosi akiwa na mwanae Jayden!

Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889

Angalau Yeye Mtoto wake huyu hata DNA zetu tu za machoni zinasema hakika lilikuwa ni ' goli ' lake la ' Kibaiolojia ' tofauti na Wasanii au Watu wengine maarufu ambao kiukweli 99.9% wanalea ' mabao ' ya wengine japo Wao wanadhani na wanajitutumua kwamba ni wao.
 
Malezi gani haya jamani mtoto mdogo tena wa kiume tayari keshatoga sikoio na kuvikwa hereni ? Ee mungu baba okoa kizazi hiki.Tunakoelekea sio kabisa.
Sure mkuu japo wengine wametetea eti ni hereni za sumaku
 
Back
Top Bottom