Huo ni ukiukwaji mkubwa wa haki za mtoto (child abuse). Inaonekana tayari mzazi ameshamchagulia mtoto welekeo wa kwenda. Haya mambo ya kuiga hayafai. Mbona yeye Ray hakutobolewa masikio na kuvishwa hereni na baba yake? Au baba yake alikuwa ni mshamba kama sisi?Malezi gani haya jamani mtoto mdogo tena wa kiume tayari keshatoga sikoio na kuvikwa hereni ? Ee mungu baba okoa kizazi hiki.Tunakoelekea sio kabisa.