kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,259
- 13,268
Kama anamtafutia bwana je?Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889
Ila haijakaa sawa kabisa
Kama anamtafutia bwana je?Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889
Wa kiume huyoKama anamtafutia bwana je?
Ila haijakaa sawa kabisa
Kitoto photocopy na baba sio kitoto cha simba kimefanana na Ivan anakomaa ni cha kwake.
kha jamaniKabisa mkuu, daaahkatoto kazuriii...
Mungu amuepushie asije kuwa akina Delicious.
Watu wana maneno hatar![]()
![]()
![]()
kha jamani
Kwani Delicious James ni ke?Wa kiume huyo
Kweli haijakaa vyema maana huyu mtoto hatujui ukubwani atakuwa na hobi gani. Akiwa mwanasiasa halafu watu wakamchafua kwa kuweka picha alizovishwa hereni lazima atachukia au hata akimtumikia Mungu.Mkuu mimi sina tatizo na yeye na mwanae ila nimeona tu kama haijakaa vyema mtoto wa kiume mdogo akaanza kuvishwa hereni maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo.
Mpuuz huyu. Unamvalisha VP hearing mwanaume? dalili za kufagilia ushoga hiziSema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889
UmEona mkuu?Mpuuz huyu. Unamvalisha VP hearing mwanaume?
Akija kuwa na tabia za kina James delicious wanaanza kumlilia Mungu kawatelekezaMtoto huyo malaika, unamvesha hereni halafu ni mwanaume;
jamani, mwogopeni hata Mungu,
KabisaAkija kuwa na tabia za kina James delicious wanaanza kumlilia Mungu kawatelekeza
Umeongea kitu sahihi sana mkuuMtoto ni mzuri sana hongera zake lakini Amekosea swala la hereni,Kama amemtoboa tena ndio zaidi.Nilikuwa nampenda sana mwanangu wa kuime zamani alipokuwa mdogo,nikaamua atapendeza akivaa hereni moja,niliongea na mamaake akasema sawa atapendeza tumpeleke akatobolewe sikio,alikuwa na miaka kama ni mingi mi4 huo ni mwaka 98,tulivyofika kwa sonara akatufanya tughairi jambo lile.Alituuliza je mwenyewe kakubali?tukamwambia hapana hajui uzuri wake so sisi tumeamua.Akasema ingependeza mngemuacha hadi akue aje aamue mwenyewe,akatuambia kuwa inawezekana akikua akachukizwa sana na jambo lile na atakuwa tayari sikio limetobolewa basi tukaacha,he is now 21 lakini hajatoboa sikio na wala sidhani kama anampango huo.Mambo mengine tunawaamulia watoto wanapokuwa wadogo sio vizuri.
Kweli nature has no medicineWamasai wanasuka na kuvaa hereni, mbona hawaitwi mchicha pori?!
Mapambo tu hayo, acheni kutafsiri vibaya kila pambo kwa mwanaume..