sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Ni nani unaona nani ni moto wa kuotea mbali kati ya Ray C na Jide, Enika na Nandy.
Mtoa mada kaharibu baada ya kumweka Nandy angalau angemweka Ray c vs Jide angalau Hapo Kuna uzito
Nafkr huyu ni shabiki wa Nandy sasa anataka shingo izidi kichwaMtoa mada kaharibu baada ya kumweka nandy angalau angemweka Ray c vs Jide angalau Hapo Kuna uzito
Kama Zuchu ni mwimbaji mzuri Nandy anakuwaje sio mwimbaji?Sjui mnatumia kigezo gan kuhsi Nandy naye ni muimbaji
Kama Zuchu ni mwimbaji mzuri Nandy anakuwaje sio mwimbaji?