NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,206
- 12,728
Nimeona baadhi ya watu wakiushambulia Ukuta wa Yericko (electrical Fence) bila kujali/kuangalia kipa anafungwa magoli ya namna gani Bali mashabiki wanapaza sauti tu kila wanapoona timu yao ya Simba sc inaporuhusu magoli.
NALIA NGWENA naandika huu uchambuzi kiufundi kwa kujenga hoja baada ya kuona baadhi ya mashabiki kuanza kumkumbuka "Onyango'' na kusema kuwa alitengeneza combination nzuri sana Kati yake na Enonga Bacca.
Sikatai kwa hiyo point lakini tujiulize kipindi Ukuta wa Simba sc hauruhusu magoli mengi Nani alikuwa golini (kipa)?
Jibu ni "Aishi Manula" na hakuna asiyejua ubora wa Aishi Manula anapokua langoni (golini) huyu ni kipa Bora mwenye kipaji ni kipa ambaye alipanga mabeki wake vizuri na ni kipa ambaye alikuwa mkali sana anapoona beki analeta mchezo/mzaha katika lango lake.
Kwa hiyo ubora wa Aishi Manula ulifanya combination ya "Onyango'' na "Enonga Bacca" kuwa moja Kati Ukuta mgumu sana kupata matokeo.
Ukuta wa Electrical fence (Enonga na Che-malon Fondoh) ni Ukuta mzuri pia ukitazama ukabaji wa Malone na pia ukitazama Enonga Bacca ni beki mzuri Ila tatizo linakuja kwa Kipa Kuna muda Makipa wa Simba sc wanafungwa unaona kabisa siyo kosa la mabeki.
Tizama Goli la Simba vs Ihefu, Ally Salimu anapigiwa mpira anatema mbele ya opponent, na anaadhibiwa kwa kosa alilolifanya.
Maoni Yangu: ni ngumu beki kuwa Bora wakati kipa ni mbovu, na kipa kuwa Bora anategemea ubora wa beki.
Nawasilisha hoja.