Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo
Labda hapo ndo pa msingi...mi rav4 zote nte nlizokua nazo ( moja auto nyingine manual moja ya 1996 na 1995) ni za cc 1990 na hii xtrail pia ni cc 1990. Ila kiukweli xtrail imenipa unafuu mkubwa sana wa mafuta kuliko rav4
Nipo kijjn singida rough road about 50 km from town natumia xtrail mafuta haili kabisa nina mwaka now cjapata tatizo lolote, inategemea umeinunua wapi hiyo xtrail SBT japan ndo mpango mzima, my friend has Rav4 New model haipiti miez 2 bila yy kushinda garage na inamtesa mafuta pia
Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo
Usinunue kabisa gari ya Nissan sio tu xtrail utalia kaka. No spares, km zipo ni very expensive. Kwa sie wenye vipato vidogo, Toyota ni gari ya uhakika
Labda hapo ndo pa msingi...mi rav4 zote nte nlizokua nazo ( moja auto nyingine manual moja ya 1996 na 1995) ni za cc 1990 na hii xtrail pia ni cc 1990. Ila kiukweli xtrail imenipa unafuu mkubwa sana wa mafuta kuliko rav4
nimetumia zote mbili on daily basis meaning nilikuwa nazo zote at the same time kibiashara[hata wateja walikuwa hawataki xtrail]...rav4 2004 na x-trail 2003....xtrail inakunywa mafuta sana ukilinganisha na rav4 na hata ukiendesha u feel jinsi ilivyo powerful.....nazijua hizi gari mbili mpaka basi
Kama unaogopa mafuta nunua Toyota Duet ndio mpango mzima.kwahiyo kuna wakati zinakuwa kama basi?
kwahiyo kuna wakati zinakuwa kama basi?
Kama unaogopa mafuta nunua Toyota Duet ndio mpango mzima.
nissani anaonekana yupo fresh kushinda toyota.
kinachotusumbua watz n mazoea ya toyota