Rav 4 vs Xtrail

Rav 4 vs Xtrail

mjanjamjanja

Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
32
Reaction score
2
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu kati ya rav4 na xtrail..ipi iko nzuri brbrb ie fuel consumption,speed,durability ,spares na ubora,kama 4wd au 2wd?
 
Nadhani x-trail itakuwa imetulia zaidi....c.c: Patrickn
 
Last edited by a moderator:
Usinunue kabisa gari ya Nissan sio tu xtrail utalia kaka. No spares, km zipo ni very expensive. Kwa sie wenye vipato vidogo, Toyota ni gari ya uhakika
 
magari ya toyota nayakubali labda kwa vile nimeyazoea..but nissan achana nayo ndugu..
 
Tanzania ina watu wa ajabu sana ambao wana uwezo wa kuagiza magari ila wanaogopa kuagiza spare parts! Mimi kwa ushauri wangu nunua Nissan ndio mzuka sababu ni ngumu kupata spare parts fake kama zilivyo za Toyota nyingi ni fake. Usiogope ulimwengu wa sasa una uwezo wa kupata spare yoyote ile pesa yako tu. Tatizo watanzania wengi tunanunua magari kwa kufuata mkumbo!
 
Umenena. Ppl have the so called "fear of the unknown" kama mtu anaweza kuagiza gari iweje ashindwe kununua spare?
Hivi kuna gari isiyo na spare bongo?
 
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu kati ya rav4 na xtrail..ipi iko nzuri brbrb ie fuel consumption,speed,durability ,spares na ubora,kama 4wd au 2wd?

Hata kama unanunua mpya usijaribu kabisa Nisan utakoma kuzaliwa! ukija nalo huku kijijini ukawa na kamzigo kidogo tu kila kamlima lazima ushushe kwanza mzigo ndo lipande vinginevyo hupandi! kwenye mlima ni ya ovyo sana! Gari Toyota utaipenda mwenyewe!
 
Umeona mkuu...na ndio maana barabarani magari yote yanafanana na hii imeathiri hadi upangaji wa kodi za magari kule TRA maana wahusika kule nao fikra ni zilezile! Kama unakumbuka zamani miaka ya 80's taxi mjini zilikuwa Peugeot, Renault, Ford nk. Lakini siku hizi watu wanaogopa kununua aina hiyo ya magari kwa sababu ambazo hazieleweki...! Yaani tumekuwa taifa linaoendelea kwa kurudi nyuma...we are advancing backward!
 
Hata kama unanunua mpya usijaribu kabisa Nisan utakoma kuzaliwa! ukija nalo huku kijijini ukawa na kamzigo kidogo tu kila kamlima lazima ushushe kwanza mzigo ndo lipande vinginevyo hupandi! kwenye mlima ni ya ovyo sana! Gari Toyota utaipenda mwenyewe!

Nissan gani hiyo unayoizungumzia wewe, ushabiki mwingine bana, ni sawa na mtu kushabikia arsenal mpaka anajinyonga, ignorance!
 
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu kati ya rav4 na xtrail..ipi iko nzuri brbrb ie fuel consumption,speed,durability ,spares na ubora,kama 4wd au 2wd?

1.fuel consuption RAV4 ni bora kuliko X-TRAIL

2.speed ZIPO SAWA, STABILITY/CONFORTABILITY/SPACE XTRAIL is far far better than RAV4
durability ni utunzaji wako

3.spare RAV4 cheap kwa sababu nyingi fake[utabadilisha mara nyingi] X-TRAIL spare ghali lakini imara sana[hubadilishi mara nyingi]

4. 4wd zote sawa....hamna sehemu rav4 iende halafu x-trail ishindwe

mimi binafsi nitachukua X-TRAIL.
 
Hapo kwenye red tupo pamoja, ila kwenye ulaji wa mafuta sio kweli... rav4 inakula mafuta zaidi kuliko xtrail trust me maana ndo ninayotumia hadi sasa... mimi nmetumia sana rav 4 sana na just before cjanunua xtrail nlikua na rav 4 na tofauti ya ulaji ni mkubwa sana aisee...xtrail inakula kidogo mkuu mi mwenyewe sikutegemea.. ila xtrail usipate yenye turbo
 
Done kaka nice comparison!!!!
 
Rav 4 ipi kaka kama ni 1zz ulaji ni mzuri mnooo X trail sidhani kama inafika hapo!!
Hebu tuwe engine specific!!!!!
 
Labda hapo ndo pa msingi...mi rav4 zote nte nlizokua nazo ( moja auto nyingine manual moja ya 1996 na 1995) ni za cc 1990 na hii xtrail pia ni cc 1990. Ila kiukweli xtrail imenipa unafuu mkubwa sana wa mafuta kuliko rav4
 
1.fuel consuption RAV4 ni bora kuliko X-TRAIL

2.speed ZIPO SAWA, STABILITY/CONFORTABILITY/SPACE XTRAIL is far far better than RAV4
durability ni utunzaji wako

3.spare RAV4 cheap kwa sababu nyingi fake[utabadilisha mara nyingi] X-TRAIL spare ghali lakini imara sana[hubadilishi mara nyingi]

4. 4wd zote sawa....hamna sehemu rav4 iende halafu x-trail ishindwe

mimi binafsi nitachukua X-TRAIL.

maelezo yako yanajitosheleza sn mkuu na ni fact kazi kwake.Mi nina nissan hardbody tangu nimeanza kuitumia mpaka leo haijasumbua na kwa dsm hakuna spare isiyopatikana
 
Back
Top Bottom