Ratiba ya ziara ya Tundu Lissu barani Ulaya na Marekani hii hapa

Naona wazungu wanaweka juhudi kuweka kibaraka wao kwenye urais wa Tanzania.

Ila ajue tu, urais ataishia kuusikia, hakuna mtanzania akili timamu atachagua kibaraka.
 
Nyerere nae alipokuwa anazurula huko alikuwaga anaenda kupandikizwa?
Nyerere na Lissu ni watu wa wili tofauti
atleast tunafahamu nyerere alienda kuzunguka kwa ajili ya kupambania uhuru na kutafuta Nchi washirika wa taifa letu ambalo lilikuwa changa .

sasa Mr lissu yeye anazunguka EU&USA kama Nani????
 
Tundu Lissu ambaye ripoti za kuaminika zinaonyesha kwamba ndiye Mwanasheria bora kabisa kuwahi kuwepo kwenye eneo la Maziwa Makuu tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , ataanza ziara ndefu ya kimkakati kwenye nchi za Ulaya na Marekani ili kuieleza dunia kilichotokea kwenye shambulio lake , wahusika wote na waliowatuma kutenda uovu ule na hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania kuanzia muda huo hadi sasa

Hii ndio ratiba ya ziara yenyewe :
.......... .. .......................................
Kuanzia January 14 amealikwa na Shirika la utangazaji la BBC mjini Brussels ambapo pamoja na kuongea na BBC pia imeelezwa kwamba amepata mwaliko mwingine wa kuonana na viongozi wa juu kabisa wa jumuiya ya Ulaya ( EU )

Baada ya kumaliza hili taarifa zinaonyesha kwamba amepewa mwaliko mwingine wa kuonana na maofisa wa ngazi ya juu kabisa wa serikali ya Marekani huko Washington , ambako kutakuwa na mazungumzo yatayochukua angalau wiki moja

Taarifa zaidi kuhusu ziara hii muhimu ya Mh Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa Chadema itaendelea kuboreshwa kwa kadri tunavyoletewa habari za ziara yake kwenye nchi mbalimbali.

Mungu mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Hahahaa just hahaaa
 
Chadema akili zenu hovyo

Kwahio ulichoandika ndio ratiba?
 
Safi aka ichongee kabisa Tanzania huko. Yuko vizuri, pia hii itasaidia hata kumjenga kisiasa na hata kufanikiwa nia yake aliyo itangaza leo ya kuwa RAIS wa Tanzania. Yuko vizuri anakwenda na midundo ya wazungu
Ataishia kuwa Rais wa chadema tu. Nani ampe nchi mtu kama huyu
 
Nyerere na Lissu ni watu wa wili tofauti
atleast tunafahamu nyerere alienda kuzunguka kwa ajili ya kupambania uhuru na kutafuta Nchi washirika wa taifa letu ambalo lilikuwa changa .

sasa Mr lissu yeye anazunguka EU&USA kama Nani????
si umesikia kaalikwa, wanajua wenyewe wazungu.

Mimi namjua Lissu kama Mzalendo nambari moja wa Taifa letu kwa kadri navyoutambua mchango wake katika kupigania utawala unaoheshimu Katiba na sheria zingine na pia maslahi mapana ya kiuchumi kwa Taifa letu.
 
..ni kwasababu hakuna mtu ndani ya Tz anayeweza kumsaidia kupata HAKI yake kwa yale aliyotendewa.

..Jeshi la Polisi lingekuwa linachunguza tukio lake kwa uzito unaostahili, na uwezekano wa kumtendea haki, Lissu asingetafuta msaada nje.

sawa anachotafuta ATAKIPATA
 
Waliomgonga lisasi ni whites?hata baba asingekua mbinafsi na mchumia tumbo asioa mama aligewazaa hapo Kenu.rudi darasani selfish nikwakilamtu, kama unamtoto kwako mdogo umri mwaka au miezi 9,mpelekee juices yoyote yenye rangi nyeusi au nyekundu akichagua mojawapo Nakunywa mojawapo nakukataa mojakati ya uliyopeleke kaonyesha ubinafsi... Hivyo kwababaako mzazi hapokwenu aliamua kuwacha wanawake wote bongohapa akaoa mamayetu aliyekuzaa wewe kwasababab ubinafsi...hivyohivyo mama akawacha washikaji zake wote akamfili dingi hapo ni ubinafsi.... Lisu msimuonee ubinafsi upo kiasili
Tulia wewe sikiza wew wazalendo tupo wa taifa letu sio huyo mchumia tumbo unawajua whites au unawasikia wameshujua udhaifu wa lisu wanampandikiza hapa tz kashindwa hakuna wajinga kama wew wanaomshabikia lisu
 
Back
Top Bottom