Ratiba ya ziara ya Tundu Lissu barani Ulaya na Marekani hii hapa

Tulia wewe sikiza wew wazalendo tupo wa taifa letu sio huyo mchumia tumbo unawajua whites au unawasikia wameshujua udhaifu wa lisu wanampandikiza hapa tz kashindwa hakuna wajinga kama wew wanaomshabikia lisu
Lissu ni mpuuzi tu. Hiyo ni kete yake ya kisaka kuwa mkimbizi wa kimataifa. Mkiona siku lissu kakanyaga hapa Tanzania mnipige mawe. Haridi tena huyo ndio kashanogewa na mi..... ya wazungu
 
Wewe ndiyo utakuwa mpuuzi wa hali ya juu na hujui lolote zaidi ya kutumika na huyo dikteta na muuaji. Eti mzalendo! Pumbavu! Utakuwa mzalendo UCHWARA.

Tulia wewe sikiza wew wazalendo tupo wa taifa letu sio huyo mchumia tumbo unawajua whites au unawasikia wameshujua udhaifu wa lisu wanampandikiza hapa tz kashindwa hakuna wajinga kama wew wanaomshabikia lisu
 
Kiti cha mbele kabisa, nikiwa tayari kuwasikiliza maagent wa mabeberu jinsi watakavyosifia uzi huu wa kijinga na kipumbavu.
Kwani akihojiwa na BBC na EU sijui ujinga gani, inatuhusu nini sisi? Shameful
Ngoja elfu 2020 tuwaoneshe kuwa sisi hatuendeshewi nchi yetu na mabeberu hata kama hawapendi uongozi uliopo madarakani lakini kushirikiana. na maadui wa uchumi wetu ni jambo la aibu.
 
Tundu Lissu ambaye ripoti za kuaminika zinaonyesha kwamba ndiye Mwanasheria bora kabisa kuwahi kuwepo kwenye eneo la Maziwa Makuu tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , ataanza ziara ndefu ya kimkakati kwenye nchi za Ulaya na Marekani ili kuieleza dunia kilichotokea kwenye shambulio lake , wahusika wote na waliowatuma kutenda uovu ule na hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania kuanzia muda huo hadi sasa

Hii ndio ratiba ya ziara yenyewe :
.......... .. .......................................
Kuanzia January 14 amealikwa na Shirika la utangazaji la BBC mjini Brussels ambapo pamoja na kuongea na BBC pia imeelezwa kwamba amepata mwaliko mwingine wa kuonana na viongozi wa juu kabisa wa jumuiya ya Ulaya ( EU )

Baada ya kumaliza hili taarifa zinaonyesha kwamba amepewa mwaliko mwingine wa kuonana na maofisa wa ngazi ya juu kabisa wa serikali ya Marekani huko Washington , ambako kutakuwa na mazungumzo yatayochukua angalau wiki moja

Taarifa zaidi kuhusu ziara hii muhimu ya Mh Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa Chadema itaendelea kuboreshwa kwa kadri tunavyoletewa habari za ziara yake kwenye nchi mbalimbali.

Mungu mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Hizi habari zitamwongezea magu frustration,
Ataanza tena kuzindua miradi iliyokwisha zinduliwa
 
mkuu umenogesha
 
Mtasababisha jiwe afe kwa presha.
 
Kwa hapo ndipo nakosana na lissu.
kuzurula Nchi za ulaya na America kuna faida Gani na anaenda kupata nini?!
Maana Nchi za ulaya zinatabia ya kuweka mapandikiz yao kwa interest zao.
Lissu/CDM Isije kujiingiza kwenye mtego wa EU&USA .

..ni kwasababu hakuna mtu ndani ya Tz anayeweza kumsaidia kupata HAKI yake kwa yale aliyotendewa.

..Jeshi la Polisi lingekuwa linachunguza tukio lake kwa uzito unaostahili, na uwezekano wa kumtendea haki, Lissu asingetafuta msaada nje.
 
Back
Top Bottom