Ratiba ya minada/gulio mikoani

Ratiba ya minada/gulio mikoani

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
660
Reaction score
599
Wakuu,mm ni mfanyabiashara mdogo na biashara zangu Huwa mara nyingi natoa Dar napeleka Kijiji Cha Komkonga wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga. Sasa nataka kupanua soko nihamie mikoa mingine kwakua Komkonga Nina wateja wa oda wa uhakika.

Naomba Kila mmoja wenu anisaidie ratiba ya MINADA ya Mkoba alipo.

Target yangu kwasasa nielekee Manyoni na Tabora. Ndoto yangu ni kufikisha huduma zangu nchi nzima niwe na wateja wa oda.

Ahsanteni kwa kusoma Uzi wangu nataraji msaada wenu uliyotukuka. Mbarikiwe
 
Wakuu,mm ni mfanyabiashara mdogo na biashara zangu Huwa mara nyingi natia Dar nampeleka Kijiji Cha Komkonga wilaya ya Handeni Mkoba wa Tanga. Sasa nataka kupanua soko nihamie mikoa mingine kwakua Komkonga Nina wateja wa oda wa uhakika.

Naomba Kila mmoja wenu anisaidie ratiba ya MINADA ya Mkoba alipo.

Target yangu kwasasa nielekee Manyoni na Tabora. Ndoto yangu ni kufikisha huduma zangu nchi nzima niwe na wateja wa oda.

Ahsanteni kwa kusoma Uzi wangu nataraji msaada wenu uliyotukuka. Mbarikiwe
Mikoba/mikoa?

Anyways nilipo(mwz)minada ni daily, kila siku minada ipo ila kila siku ina mtaa wake kwaio minada inahama kulingana na siku! Mfano ijumaa National n.k
 
Ahsante mkuu. Nimekusudia mikoa ila touch si unazielewa mwenyewe zilivyo. Sasa mkuu Jumanne mnada unakuwa mtaa Gani? Mm ni mchuuzi wa nguo za mitumba za grade A. Nisaidie jina la mtaa kwa siku ya J4
 
Jumanne ni Igogo-mchafukoge, sema saiz kuna mvua sana utateseka
 
Mikoba/mikoa?

Anyways nilipo(mwz)minada ni daily, kila siku minada ipo ila kila siku ina mtaa wake kwaio minada inahama kulingana na siku! Mfano ijumaa National n.k
Wasalimie maboto Plaza
 
Back
Top Bottom