Kwa hii ratiba, lazima Mkuu Paka Jimmy atakuwa na neno la kusema.
Mkuu, ratiba hii kweli kabisa imekaa kihovyohovyo sana, mtu aliyeiandaa si mtaalam.
Pia inaconfuse kwenye MUDA kwasababu Saa mbili ya asubuhi imeonyeshwa kwa figure 2, wakati pia saa 8. mchana imeonyeshwa kwa figure hiyohyo ya 2.
Haijatulia, japo KWA HAMASA TULIYO NAYO TUNAMEZEA.!!
Shonza Arusha we unacheza nini huku ni kazi tu
Kibali kimeshaombwa au?
Jihadharini na intellijensia za Polisi. Otherwise nawatakieni heri Arusha
dah hadi helicopter?
Matumizii mabaya ya ruzuku mkuu ,
Juliana Shonza aje kufanya nini wakati mfadhili wake Zitto mwenyewe hatakuwepo?