Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili
1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar
2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan
3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo
4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma
5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri
6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine
NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪