Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
usije panda na huyo nge wako
Hahahahahaaa si tunapanda tu humo bila ya kulipa hata nauli!
usije panda na huyo nge wako
Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali
mkipanda tunasusa wallahi
Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali
haituhusu,kaiba nyumbani kawekeza nyumbani.heko mmiliki wa ratco.Fisadi gani anamiliki hii luxury???
Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali
Duuh.......kuna VIP na Economy...!!!ukitaka uzuri sharti udhurike, nauli ni 35,000 kwa VIP seats na 20,000/- kwa economy
haituhusu,kaiba nyumbani kawekeza nyumbani.heko mmiliki wa ratco.