RATCO Express-Usipime

RATCO Express-Usipime

KIPYA KINYEMI....ipe mwaka, watoandoa kila kitu kizuri, au vikiharibika havitatengenezwa itabakia historia...
mwaka...kibongobongo mwingi sana lakn kwa kuwa ni kampuni ya kizalendo nisiiombee mabaya
 
kwani na wewe ni mwarabu lililokukera hapo ni lipi, huna mahusiano nao au wamekuoleeni acha kujipendekeza wewe ebo mtu mzima
unakuwa hivyo we mmakonde wa visiwani wapi na wapi na waarabu

Njoo mwaya una tiketi ya kuja na kurudi (kama kutakuwa na umuhimu wa kurudi) katika Basi hilo, hii ni kwa hisani ya Mwanyasi KOKUTONA andaa mspokezi kama ya obama tafadhwali
 
Last edited by a moderator:
KIPYA KINYEMI....ipe mwaka, watoandoa kila kitu kizuri, au vikiharibika havitatengenezwa itabakia historia...

Hiyo kampuni tangu imeanza huduma zake hadhi inapanda tu. Wao walikuwa wa kwanza kuleta mabasi mazuri na nauli ya 18,000 [2012 mwishoni baada ya kuzuiliwa kwa rushwa na wenye mabasi mengine kwa muda mrefu] ukilinganisha na 13,000 ya mabasi mengine iliyokuwa juu zaidi. Hivi sasa kaleta hayo nauli ni 30000
 
Back
Top Bottom