Kwanini ujenzi wa Barabara ya lami kuanzia Tamco Kibaha kupitia Vikawe hadi Mapiga unasuasua

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,148
7,722
Kandarasi wa Barabara hii ni Kaserkandis construction, ni kilomita 23 tu kutoka Tamco/Vikawe hadi unatokezea Mapinga/Bunju.

Barbara hii ni muhimu sana kwani ndio kiunganishi cha wilaya ya Bagamoyo na makao makuu ya mkoa yaliyopo Kibaha lakini ujenzi unasuasua sana, Kandarasi yupo site lakini kila baada ya miezi 3 anajenga km 2 je kweli hizo km 23 zitaaisha kwa mwendo huo?! Au hadi aje waziri mkuu ndipo mchangamke?

Kama Serikali imewalipa fedha basi kuna haja ya kufuatilia kwa karibu ujenzi wa Barabara hii kwani hauridhishi kabisaa.

Wakazi wa Bunju na viunga vyake wanaitegemea sana barabara hii kwenda hospitali ya taifa Muhimbili Mloganzila lakini pia ni shotkati ya kwenda stendi kuu ya mabasi Magufuli, bado ni barabara mbovu na hivyo kukwaza shughuli za kiuchumi.

Tunaomba barabara hii ikamilike kwa wakati, kama kandarasi hajalipwa basi alipwe, kama kalipwa basi viongozi wa Tanroad mkoa wafuatilie kwa karibu.

Hicho ni kilio cha wananchi wa Bagamoyo, Mapinga, Kerege, Bunju, Vikawe, Kidimu n.k.
 
Kandarasi wa Barabara hii ni Kaserkandis construction, ni kilomita 23 tu kutoka Tamco/vikawe hadi unatokezea Mapinga/Bunju.
Barbara hii ni muhimu sana kwani ndio kiunganishi cha wilaya ya Bagamoyo na makao makuu ya mkoa yaliyopo Kibaha lakini ujenzi unasuasua sana, Kandarasi yupo site lakini kila baada ya miezi 3 anajenga km 2 je kweli hizo km 23 zitaaisha kwa mwendo huo?! au hadi aje waziri mkuu ndipo mchangamke?

Kama Serikali imewalipa fedha basi kuna haja ya kufuatilia kwa karibu ujenzi wa Barabara hii kwani hauridhishi kabisaa.

Wakazi wa Bunju na viunga vyake wanaitegemea sana barabara hii kwenda hospitali ya taifa Muhimbili Mloganzila lakini bado ni barabara mbovu.

Tunaomba barabara hii ikamilike kwa wakati, kama kandarasi hajalipwa basi alipwe, kama kalipwa basi viongozi wa Tanroad mkoa wafuatilie kwa karibu.

Hicho ni kilio cha wananchi wa Bagamoyo, Mapinga, kerege, Bunju, vikawe, kidimu n.k.
 
Attachments

  • A2EBD1FE-944A-4EAE-A251-94B4BC4DA368.jpeg
    A2EBD1FE-944A-4EAE-A251-94B4BC4DA368.jpeg
    68.7 KB · Views: 9
Naunga mkono HOJA.. Serikali itoe maelezo.. hii barabara ni MUHIMU sana, maana pia itapandisha hadhi ya maeneo yote ya hiyo barabara, kuanzia Pangani, Kidimu, Vikawe hadi Mapinga
 
Kandarasi wa Barabara hii ni Kaserkandis construction, ni kilomita 23 tu kutoka Tamco/Vikawe hadi unatokezea Mapinga/Bunju.

Barbara hii ni muhimu sana kwani ndio kiunganishi cha wilaya ya Bagamoyo na makao makuu ya mkoa yaliyopo Kibaha lakini ujenzi unasuasua sana, Kandarasi yupo site lakini kila baada ya miezi 3 anajenga km 2 je kweli hizo km 23 zitaaisha kwa mwendo huo?! Au hadi aje waziri mkuu ndipo mchangamke?

Kama Serikali imewalipa fedha basi kuna haja ya kufuatilia kwa karibu ujenzi wa Barabara hii kwani hauridhishi kabisaa.

Wakazi wa Bunju na viunga vyake wanaitegemea sana barabara hii kwenda hospitali ya taifa Muhimbili Mloganzila lakini pia ni shotkati ya kwenda stendi kuu ya mabasi Magufuli, bado ni barabara mbovu na hivyo kukwaza shughuli za kiuchumi.

Tunaomba barabara hii ikamilike kwa wakati, kama kandarasi hajalipwa basi alipwe, kama kalipwa basi viongozi wa Tanroad mkoa wafuatilie kwa karibu.

Hicho ni kilio cha wananchi wa Bagamoyo, Mapinga, Kerege, Bunju, Vikawe, Kidimu n.k.
Itakuwa ni mijizi ya Kiarabu iliyopewa hiyo tenda.
 
Ile barabara ni bonge la shortcut,wamalize haraka kutupunguzia kero...
Barabara hii ni muhimu sana ndiyo inayo warahisishia wananchi wa Bunju, Mapinga, kerege, zinga, vikawe, kidimu kuwahi matibabu kwenye hospitali za rufaa za Kibaha na Mloganzila. Kuna wagonjwa mahututi wanapita kwenye barabara hiyo kuwahi matibabu, ila viongozi wapo tu wanaona
 
Kuna wagonjwa wanatokea wilaya ya Bagamoyo na viunga vyake wanapewa rufaa kwwnda Hospitali ya Muhimbili mloganzila au Tumbi wanashindwa kufika kwa wakati kutokana na ubovu wa barabara hiyo
 
Kandarasi wa Barabara hii ni Kaserkandis construction, ni kilomita 23 tu kutoka Tamco/Vikawe hadi unatokezea Mapinga/Bunju.

Barbara hii ni muhimu sana kwani ndio kiunganishi cha wilaya ya Bagamoyo na makao makuu ya mkoa yaliyopo Kibaha lakini ujenzi unasuasua sana, Kandarasi yupo site lakini kila baada ya miezi 3 anajenga km 2 je kweli hizo km 23 zitaaisha kwa mwendo huo?! Au hadi aje waziri mkuu ndipo mchangamke?

Kama Serikali imewalipa fedha basi kuna haja ya kufuatilia kwa karibu ujenzi wa Barabara hii kwani hauridhishi kabisaa.

Wakazi wa Bunju na viunga vyake wanaitegemea sana barabara hii kwenda hospitali ya taifa Muhimbili Mloganzila lakini pia ni shotkati ya kwenda stendi kuu ya mabasi Magufuli, bado ni barabara mbovu na hivyo kukwaza shughuli za kiuchumi.

Tunaomba barabara hii ikamilike kwa wakati, kama kandarasi hajalipwa basi alipwe, kama kalipwa basi viongozi wa Tanroad mkoa wafuatilie kwa karibu.

Hicho ni kilio cha wananchi wa Bagamoyo, Mapinga, Kerege, Bunju, Vikawe, Kidimu n.k.
Kumbe ni wewe,Jana ulinilostisha sana
 
Back
Top Bottom