Rasmi stori ya Lwanda Magere Imetua redioni

Rasmi stori ya Lwanda Magere Imetua redioni

Story kama hizo youtube kibao.

Ingia page ya jamaa anaitwa davistar mata utasikiliza mpaka uchoke
 
Kwa mliosikiliza kipindi cha Sitosahau cha RFA siku ya leo jpili Tar 7.2.2021,kisa alichokuwa anasimulia msimuliaji kinafanana kwa 100% na kiss kimoja ambacho kimo humu JF.

Kisa chenyewe ni kile cha dada wa kazi aliyeiambia familia aliyokuwa anafanyia kazi kwamba atatembelewa na wazazi wake na akaipa masharti hiyo familia kwamba siku hao wageni wake watakapofika familia ile wavae nguo nyeupe.

Inaonekana wazazi au tuseme hao wageni wa huyo dada wa kazi walikuwa si wa kawaida.Je msimuliaji RFA ameiba kisa hiki humu JF na kujivisha uhusika au msimuliaji ndie aliyekisimulia kisa hiki hata humu JF kabla hajaenda kukisimulia RFA leo? Au msimuliaji wa JF alikichukua kutoka kwa msimuliaji wa RFA ambaye pengine ndio mhusika mkuu wa kisa hicho?
MKUU NDIYE MIMI
 
Back
Top Bottom