Hadithi ya Lwanda Magere katika kipindi cha Sinto sahau kinachorushwa na Redio Free Africa

Lubengera

JF-Expert Member
Jun 21, 2019
529
745
Wanabodi.

Radio Free Africa wanarusha kipindi cha sito sahau kila Jumapili saa nne na kuendelea.

Sasa hivi kuna hadithi ya jamaa anaye jiita Lwanda Magere! nimesikiliza hadithi yake kwa baadhi ya episode zake! Jamaa kiukweli kwa maneno yake mwenyewe, anakiri kuua watu wengi sana hasa kupitia ajali za Magari, na bahati mbaya amekuwa akitamka hadi ajali alizohusika.

Wito wangu! Management ya Radio Free Africa, haioni kama inaamsha uchungu kwa watu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hizo? lakini pia haioni kama inahatarisha uhai wa huyo Lwanda Magere sababu watu wanaweza mfanyia kitu kibaya.

Hadithi ya Lwanda Magere inaweza kuwa na Fundisho au kutokuwa na umuhim kwa jamii yetu, story ime base kwenye mambo mabaya na machafu kuyasikia katika Radio Kubwa kama Radio Free Africa inayosikilizwa mpaka na watoto wadogo.

Rai yangu:
Kwakuwa hadithi imeonekana kuwa na mambo mengi kama kuua, umalaya, uzalilishaji, na hata ushirikina! ni wakati sasa hadithi hii ikarushwa usiku kuanzia labda saa nne usiku, ili kuepuka hawa watoto.

Na kwakuwa watu wanaifuatilia, hata mkiweka mida hiyo bado mtapata wateja wenu.

Nawasilisha.
 
Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
5,357
16,912
Uzi wake wa JF aliuachia nusu tu akapotea , alaf jamaa inaonekana kaamua kuvujisha siri baada ya kunyang'anywa vitendea kazi Sasa kaamua kuvunisha siri ili awakomoe wale washirikina wenzake
 
Lubengera

JF-Expert Member
Jun 21, 2019
529
745
Kwani Mshana Jr. unayemuamini ni Mungu? Unajuaje au unathibitisha vipi km mambo anayokuambiaga si Matango pori? Acheni kuwaabudu baadhi ya watu na kudharau wengine.
We jamaa! nadhan umeenda extra maili! Mshana kupitia threads zake, no doubt kuwa anaufaham wa mambo hayo!

Bahati mbaya hatujaona ujuzi wako, pengine tunge appriciate pia.
 
Dadyboy

Member
Nov 18, 2013
16
8
Wanabodi.
Radio Free Africa wanarusha kipindi cha sito sahau kila Jumapili saa nne na kuendelea.

Sasa hivi kuna hadithi ya jamaa anaye jiita Lwanda Magere! nimesikiliza hadithi yake kwa baadhi ya episode zake! Jamaa kiukweli kwa maneno yake mwenyewe, anakiri kuua watu wengi sana hasa kupitia ajali za Magari, na bahati mbaya amekuwa akitamka hadi ajali alizohusika.

Wito wangu! Management ya Radio Free Africa, haioni kama inaamsha uchungu kwa watu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hizo? lakini pia haioni kama inahatarisha uhai wa huyo Lwanda Magere sababu watu wanaweza mfanyia kitu kibaya.

Hadithi ya Lwanda Magere inaweza kuwa na Fundisho au kutokuwa na umuhim kwa jamii yetu, story ime base kwenye mambo mabaya na machafu kuyasikia katika Radio Kubwa kama Radio Free Africa inayosikilizwa mpaka na watoto wadogo.

Rai yangu:
Kwakuwa hadithi imeonekana kuwa na mambo mengi kama kuua, umalaya, uzalilishaji, na hata ushirikina! ni wakati sasa hadithi hii ikarushwa usiku kuanzia labda saa nne usiku, ili kuepuka hawa watoto.

Na kwakuwa watu wanaifuatilia, hata mkiweka mida hiyo bado mtapata wateja wenu.

Nawasilisha.
Labda uzungumzie kuhusu watoto ku cort vibaya lkn Kuna mafundisho mengi Sana hasa kea vijana wanaotafuta maisha kea njia ya short Kati, iwe ni kweli au si kweli muhimu ni mafundisho n'a onyo kwa vijana.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
46,419
55,278
Lwanda Magere naona kama anapiga tu story za changamsha genge tu.

Mtu ambaye namkubali ambaye alifanya kipindi cha kweli ni Jonathan Meshaki aka Kagame Jambazi Mtoto au Kipindi cha Ali Thabit Muandishi wa HAbari mwenye ulemavu wa macho,Zabron naye ni tantalila mtu wa kutupiga kamba.
 
Jerry Ekky

JF-Expert Member
May 6, 2018
1,230
2,243
Lwanda Magere naona kama anapiga tu story za changamsha genge tu.

Mtu ambaye namkubali ambaye alifanya kipindi cha kweli ni Jonathan Meshaki aka Kagame Jambazi Mtoto au Kipindi cha Ali Thabit Muandishi wa HAbari mwenye ulemavu wa macho,Zabron naye ni tantalila mtu wa kutupiga kamba.
Tuwekee ya Jambazi mtoto mkuu
 
BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,238
4,832
Aisee acha,hii Ina Mikasa balaa,Kama vipi sikiliza jumapili ijayo rfa 89.3 fm saa nne kamili asubuhi.
Lazima ukubali,mwana kapitia katika majanga kichizi
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Top Bottom