Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
HayaHaki vile sitampokea...labda niwe na hitaji la mwili..Hit and Run
HayaHaki vile sitampokea...labda niwe na hitaji la mwili..Hit and Run
Kweli duniani tunatofautiana! How could anybody leave someone as intelligent as u? Au yaliyomo na mengine yamo?. Pole sana aseeLol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Upweke unakujaje Wakat Nipo ?
Aaahh Wapi nisikitike Wakat najua probability za kukupata zimeongezeka
Kwanini umeachwa by the way
Sawaa kabisa.tuliachwa tuunde bond mpya unasemaje
AnhaaPole sana, lengo ili tufahamiane tuweze kuliwazana....ya Mungu mengi either unaweza mpata valintine wako amby ana maumiv kama yako
Nimeachwa sasa. Sijui ni wapi nimekwama.Mtoto mzuri huwezi achwa. Utakuwa umeacha wewe au mmeachana.
Pole sana
Tangu January? Unaishije sasaNjoo huku na sisi tuwakomoe walio tuacha maana na mimi nimeachwa toka January kwahyo nipo na tu nabangaiza.
Sijui kupikaKweli duniani tunatofautiana! How could anybody leave someone as intelligent as u? Au yaliyomo na mengine yamo?. Pole sana asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa
Aisee! thats is a deal-breaker. Unatakiwa ujifunze haraka sana, Mwanamke mapishi bwana. Jamaa alitakiwa akufundishe sio kukimbia.Sijui kupika
Pole sana. Mimi tangu jumatatu najitafakari juu ya mahusiano nikagundua bado sana. Tena nikaongeza madeni, hasara katika mishe niliyoanza kufanya, masomo. Nikajitathmini nikaona nikiwa na hela nakuwa na furaha sana kuliko kuwa na mpenzi. Nimepiga kimya nashukuru naye hajaangaika na mimi kivile. Natengeneza mazingira aniache niwe free.Nimeachwa sasa. Sijui ni wapi nimekwama.
Hapo hujaachwa ww ndo umemuacha kwa kukataa vibomu vyake vya rejareja . Muda kidogo ukipita ataanzisha tena, hapo amekukazia aone kama utakubali kulipuka na vibomu vyake ili arudishe majeshiHabari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu
. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta.
Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
Sasa mbona haujawahi kuniambia kwamba unanihitaji?
Unafanya hadi naachwa nabembeleza hadi nalia?
Hamna sababu, basi tuu mwanaume akiamua kuacha hata ukipiga chafya inakuwa ni kosa .
Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu
. Sijajua tatizo nini lakini nahisi itakuwa n sms zake za dalili ya mizinga ambazo nimezipotezea takrban siku 3 zlzopta.
Naungana na mond kuwa moja ya wadau ambao tumetoswa kwenye siku hii muhimu dunian, ambao tumewahi mwagwa siku kama hii tujuane.
Nami nmechezea za mbavu mkuu, kwahyo tupo wengi sana dunian tulotoswa cku ya leo.Habari yenu wana jf Hatimaye leo tarehe 14/02/2020 ikiwa ni siku ya wapendanao muda saa 00:38 nimeachwa rasmi na aliyekuwa girlfriend wangu