kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
- Thread starter
-
- #41
Nitakuwa makini wakati mwingineNilikuambiaje?
Kuwa makini na Umri wako mdogo haya mambo hayaitaji kujiachia kma unabembea
Pole mdogo wangu
SijaelewaHuoni kama umezidi kisigino
Wee em sema kweli?! ππππMapenzi huwa hayashauriki hapo akipigwa busu la shingo tu. Unajiona mjinga.. π
Nakuja kukufariji tu sio kukusababishia matatizo. Naelewa mkuu!..Hapana mkuu siko sawa
Siwezi kufanya hivyo ni heri nitafute mpenzi mpyaJaribu kujichua, hy haina stress
Nakazia.Haiwezekani maisha yanipe stress na mtu pia anipe stress hapana
Muongo huyuπππWee em sema kweli?! ππππ
Asante mkuu wakati mwingineNakuja kukufariji tu sio kukusababishia matatizo. Naelewa mkuu!..
Nitakuwa makini wakati mwingine
Kwa kweli, ππππM
Muongo huyuπππ
Kabisa πWee em sema kweli?! ππππ
Makosa madogo tu mkuukwani unafanya makosa gani?π¦
Unaachaje Kwa urahis hivi Kwanza hukutuandaaSijaelewa
Umenichekesha kifalaWee em sema kweli?! ππππ
Ndiyo natulia mkuuBado tulia kwanza saivi si bado una wenge la kuachanaππ
Kwanini? ππππUmenichekesha kifala
Even now you're joking.I was jokingππ₯²
Em apia. πππKabisa π
Hapa nakazia kabisa mkuu..
Usisahau kula kwakweli na kunywa maji mengi na matundaNdiyo natulia mkuu