kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢