Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Natoa tangulizi za pole, kwa aliye lipata dish hili🤓
FB_IMG_16929634320527776.jpg
 
Kupata mwenza sio kigezo cha kusay goodbye, au mwenzetu ulikuja na malengo gani humu?

Nakutakia kheri mtunze mumeo
 
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .

Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. 😒😒

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Dedication mke wa mtu, unipe mualiko

View: https://youtu.be/uGlN3fiAdXs?si=EPVWq1h1XAJ44IE7
 
Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika, mwandishi yuko sahihi kabisa.

Ndugu huyu Ni mgonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ambapo siku ya 31/3/2024 ali fanikiwa kutoroka hospital na kuiba simu za ofisi 3, kisha ana anza kuropoka hovyo.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo wavumilienii
FB_IMG_17113777045469815.jpg
 
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .

Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. 😒😒

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Dogo mtafungua shule lini maana naona Bado mpo likizo, Yani upate Mme ndo uage humu, Bado kumbe una akili za kitoto, Bado unavalishwa nepi kumbe, watu ni maboss na ndoa zao wamo humu mpaka mawaziri hadi rais yumo humu wewe ni nani usiwemo humu eti kisa ndoa, kwani ndoa ndo nini wewe, acha mambo ya kitoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom