Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,716
- 24,914
- Thread starter
- #41
Asante mwayaZawadi muhimu kwa binadamu
1.Uzima
2.afya
3.fedha
4.familia
Hivyo basi nakutakia furaha
Asante mwayaZawadi muhimu kwa binadamu
1.Uzima
2.afya
3.fedha
4.familia
Hivyo basi nakutakia furaha
Hayaa utaniona kuanzia ijumatano sintokuwepo tenaWanao ondoka hawaagi. Huyu bado yupo sana humu
Kweli Hilo wenge aisee,siku ukivurugwa utakosa hata sehemu ya ku socialize, ndoa sio kifungo au utumwaMtaachana tuu... Hizo ni nyege.. Sasa Jf na ndoa zinamuingiliano gani... Punguza wenge binti...
Nitaenda kwa wakweKweli Hilo wenge aisee,siku ukivurugwa utakosa hata sehemu ya ku socialize, ndoa sio kifungo au utumwa
Dedication mke wa mtu, unipe mualikoNimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .
Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Nakuja kukuchukua ukalee wajukuuKila la kheri Mjukuu
Mkawe na maisha mema ya Ndoa na Mumeo/Mpenzio
Mungu akawabariki mpate watoto wa kiume na kike kadri atakavyo wabariki
Mkipata Likizo wewe na Mumeo, msiache kuja kututembelea huku Kijijini 🤗
😂😂😂😂 Da mau muongo kaamua kutuchangamsha ndugu zake
Dogo mtafungua shule lini maana naona Bado mpo likizo, Yani upate Mme ndo uage humu, Bado kumbe una akili za kitoto, Bado unavalishwa nepi kumbe, watu ni maboss na ndoa zao wamo humu mpaka mawaziri hadi rais yumo humu wewe ni nani usiwemo humu eti kisa ndoa, kwani ndoa ndo nini wewe, acha mambo ya kitotoNimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .
Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower