Rangi za moshi hutokeaje baada ya Papa (Pope) mpya kuchaguliwa?

Yaani weusi tuna nini ?
Mpaka moshi mweusi una maana hakuna kitu
Kwanini sio blue au manjano?
Na mm nimewaza kwanin weusi
Shetani wanamchora mweusi ukisikia mchawi bas kavaa kaniki nyeusi 😂😂

Ukiongelea dhambi basi wanamchora kama Giza Yan weusi 😂😂😂watuue tu watu weus tujue moja
 
Angalia hapa weusi wanabusu sanamu jeupe
Bora wajamaica london, kuna kanisa wameweka sanamu la yesu mweusi FACT 😄 🤣 😂
Nimeona kwa macho yangu

Wazungu wameona kila cheusi ndio kibaya na sisi badala ya kupinga cha kwao wanashobokea

Black market, black magic, blackmail,
Eti kinyume cha black market ni Grey market na sio white market
 
I. Wakati wa uchaguzi wa Papa mpya huko Vatican, dunia nzima huangalia moshi unaotoka juu ya Sistine Chapel. Lakini je, unajua moshi huo unatengenezwa vipi?

II. Kuna aina mbili za moshi: mweusi na mweupe.

Moshi mweusi unaashiria hakuna papa aliyepatikana.

Moshi mweupe unaonyesha kuwa papa mpya amechaguliwa!

III. Chanzo cha moshi huu ni kuchomwa kwa karatasi za kura zinazopigwa na makardinali walioko kwenye Conclave.

Soma Pia: Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267

IV. Lakini si karatasi peke yake—huongezewa kemikali maalum ili kutoa rangi maalum ya moshi.

Moshi mweusi: karatasi + kemikali kama makaa na plastiki (hutoa moshi mzito na mweusi)

Moshi mweupe: karatasi + potassium chlorate, lactose na pine rosin (hutoa moshi mweupe unaoeleweka kirahisi)

V. Moshi hupitia bomba maalum lililowekwa juu ya Sistine Chapel, na watu kote duniani husubiri kuona ni rangi gani itatoka.
 
Jana kuna jamaa anaona ile white smoke mate yanamdondoka
shisha zitawaua
 
Back
Top Bottom