Rangi za moshi hutokeaje baada ya Papa (Pope) mpya kuchaguliwa?

Rangi za moshi hutokeaje baada ya Papa (Pope) mpya kuchaguliwa?

Nimewaza tu kwanini nyeupe na nyeusi?
Na rangi haina opposite mkuu
Au ni kwa nyeupe tu ndio ina opposite yake
Ndio leo nasikia hii
Lakini tuyaache tu
Kuhusu kwanini watumie rangi nyeusi na nyeupe sijui.
Ila rangi zina opposites zake mfano opposite ya kijani ni nyekundu. Hii ni kwa mujibu wa colour wheel. Na opposite ya nyeusi ni nyeupe.

Color-Theory-Graphics-WHEEL34.jpg
 
Kuhusu kwanini watumie rangi nyeusi na nyeupe sijui.
Ila rangi zina opposites zake mfano opposite ya kijani ni nyekundu. Hii ni kwa mujibu wa colour wheel. Na opposite ya nyeusi ni nyeupe.

View attachment 3311344
Acha longolongo
Peleka huu upupu huko vijiweni
kwa mzungum weusi ni uchafu na ushenzi ....black market, black listed, black magic......
Na weupu, white listed, white noise,
1745259374064.png
 
Acha longolongo
Peleka huu upupu huko vijiweni
kwa mzungum weusi ni uchafu na ushenzi ....black market, black listed, black magic......
Na weupu, white listed, white noise,
View attachment 3311360
Mkuu hiyo nature ya rangi nyeusi ni giza na ya rangi nyeupe ni mwanga. Kwahiyo rangi nyeusi kuhusishwa na shughuli haramu na chafu sidhani kama inahusiana na racism. Mbona wazungu kibao wapo huko Black Market. Ni nature tu ya rangi nyeusi.
 
Moshi unaonekana hata ukiwa mbali. Sasa chukulia miaka hiyo ya 60 kabla teknolojia haijakua kiasi ilivyo leo. Wangeweza kufanya hivyo ila ingechukua muda gani taarifa kusambaa?
technology ya sasa bado ni ya kutumia moshi kufikisha taarifa?
 
Back
Top Bottom