donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,772
Akihisi njaa tu anakula silaha.
Yeah mkuuYuko organic huyo.
bangi ikizidi utashangaa tunaambiwa sokoine kaonekana kwenye mpapai.bangi na njaa ni hatari
Akihisi njaa tu anakula silaha.
Na sitamwaaaangusha"Ndugu Zangu Watanzania, Ninaposema Nataka Tanzania Ya Viwanda Ninamaanisha Kwelikweli Maana Tuna Marighafi Na Hata Wataalamu Hususani Vijana Kama Huyu Rambo Nimesahau Sijui Anatoka Rungwe Au Kyela.
Nami Nasema Huyo Kijana Sitamwangusha, Nitamuunga Mkono Katika Maono Yake Mazuri Na Nitahakikisha Ninampa Nafasi Ya DAS Katika Halmashauri Ya Busokelo Ili Mzee Wangu Prof. Mwandosya Anitazame Vizuri.
Mbunifu