mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
- Thread starter
- #61
Mtaniuwa na presha jaman hizo sio size yangu
Mkuu kama uko serious pm me.. Mie ni Architect na niko na consulting firm ya services hiyo na Quantity Surveying na Project Management.. Ukitaka officially pouwa ukitaka ya kiushkaji utapata.. Ntakukaribisha na kwa ofic uje kuona..
haya angalia kwanza kwa nje ...ukiridhika ni pm
Ramani zinauzwa, ni utaalam kama ulivyosema
Kweli JF ni zaidi ya social netiweki....
Hebu ingia kwenye google na tafuta hii kitu: www.indianhomedesign.com au www.keralahousedesign.com ukikosa ramani nzuri ya nyumba hapa labda umelogwa
Mkuu, Mimi ni Mhandisi wa mambo ya ujenzi. Ramani ya nyumba huwa inapatikana kwa gharama na sio kutupia tu, halafu watu wachukue. Tafuta Architect akuchoree ramani unayotaka na uende na hela. Hapa utajaza post kwenye thread na hakuna utakachopata.
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
Mzee unacopy na kupaste hadi kwenye nyumba za watu! LOL. Hizi ramani huwa zinauzwa bana na mimi binafsi naamini wewe kichwani mwako utakua na idea unataka nyumba yako iweje ili roho yako iridhike, sasa hizo ideas ambazo unazo ukikaa na mtaalamu ataziweka kwenye mchoro, kila mtu ana taste yake kuhusu ujenzi wa makazi, usichukue tastes za watu.
Ingia google ndugu
Tatizo sio pesa ya kulipia raman nilicho gundua wengi wenu mnaishi nyumba za kupanga
wewe mtakaji mwenyewe uko na nyodo sana mbona bule utaiweza wewe ??? hacha kua mkali umeomba tulia kua mpole....ili upewe baba.....
ramani ya nyumba inategemea unajenga wapi (mteremkoni au mlimani), matumizi yako binafsi(ukubwa wa familia) upepo unapotoka, njia kuu, sera ya eneo hilo (ghorofa au nyumba za chini) n.k hivyo tafuta mtaalamu (Archtect) akusaidie mi ninayo namba ya mmoja kama upo Singida
wee kiboko, pamoja na madongo yote bado unakomaa tu!!!wewe nipe ramani mambo ya kwamba nitajenga mliman/bonden/baharin au angan hio ni juu yangu
wee kiboko, pamoja na madongo yote bado unakomaa tu!!!
mie bado nimepanga usiniombe
Ungekuwa Dar ningekushauri uende pale posta mpya mbele ya ofisi za mamlaka ya korosho Tanzania,kuna mchora ramani wa bei poa,yeye anauza kimachinga kabisa.
sasa ww unataka dada mwenye nyumba anifukuzeUcjali ndugu hata wewe una nafac kubwa ya kunisaidia we ongea na Mama/Baba mwenye Nyumba akupe yake kisha uni2pie
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish