mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
- Thread starter
- #101
Wakuu vp?
mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
akuwekee
Haya sasa, nimekuwekea sebule na kitchen. Hapo unanunua jiko la gesi au umeme au mchina unapika mwenyewe. Sema kingineView attachment 74696
Nimekukubali mkuu ! Mdogo mdogo, hapa tunafaidika wengi ! Kuprinti unafanyaje ?
Mkuu achana na Picha za Nyumba 2pia ramani tu
Mkuu achana na Picha za Nyumba 2pia ramani tu
Najitahidi ku attach inasambaratika. Nipe muda
Najitahidi ku attach inasambaratika. Nipe muda
Ok dakika 5
Tatizo sio pesa ya kulipia raman nilicho gundua wengi wenu mnaishi nyumba za kupanga
hata ukisema hivyo unafikiri watu watakasirika wakuonyeshe nyumba zao? kila mtu angechukua cha bure kama ingekuwa rahisi hivyo. ushaambiwa kuna mtu ubungo mataa, buku mbili tu una ramani, hata hiyo pia hutaki! sasa utajengaje?
nimeshahisi unataka kuzifanyia ujasiriamali
Ku- attach ni kama hivi:View attachment 74847
Mfundishe mkuu ila 2pia zenye Akili
attach hivi!!!!!!!!!!!!!.View attachment 74855
Hii iko poa ila ka vp 2pia zaidi ya hii
Najitahidi ku attach inasambaratika. Nipe muda
sio siri mkuu hii nimeipenda ile mbaya ! tutashukuru ukifanya ukitupia michoro !:A S 11:
kukaa na kubrowse JF ni zaidi ya buku mbili !!:whistle:hata ukisema hivyo unafikiri watu watakasirika wakuonyeshe nyumba zao? kila mtu angechukua cha bure kama ingekuwa rahisi hivyo. ushaambiwa kuna mtu ubungo mataa, buku mbili tu una ramani, hata hiyo pia hutaki! sasa utajengaje?