Ramani ya Nyumba

Ramani ya Nyumba

Acha maroho mabaya we ushatumia vingap

Sihitaji dezo ya mtu!! Nyumba zangu zote ni ramani tofauti na zote nililipia hela!!!! Hata banda la kuku nachora kitaalam!! Division of Labour!!! Unalialia hapa mbona hakuna aliyekupa ramani ya nyumba yake!!!???
 
Hongera ndugu ila jua kua wapo wenye myoyo safi watanipa 2
 
Attachments

  • 164182_187891081234745_100000415640874_557938_6938331_n.jpg
    164182_187891081234745_100000415640874_557938_6938331_n.jpg
    67 KB · Views: 188
pole...tujifunze kujitegemea jamani vya bure mpaka lini.. I wish ungeulizia hata someone who is affordable to do for you. sasa kama hela unayo yaramani inakushida... acha hizo. Cheap is always expensive another thing is.....unajua ramani ya nyumba is something so specific for a particular person...sio tu umeona jirani amejenga na wewe unataka kama ya jirani. use your common sense. nenda ka google utapata idea ya kitu gani unataka then mtafute mchoraji ...la hasha take sometime and create something in your mind share it with your wife/kids off you go...
 
Mkuu kama uko serious pm me.. Mie ni Architect na niko na consulting firm ya services hiyo na Quantity Surveying na Project Management.. Ukitaka officially pouwa ukitaka ya kiushkaji utapata.. Ntakukaribisha na kwa ofic uje kuona..
 
JANGA LA KITAIFA HILI, WATU HAWA VALUE PROFESHEN! UNAWEZA KUPATA RAMAN NZURI HAPA UKAJENGA UKASHINDWA KUISHI KWA RAHA! MTAFUTE MTAALAMU MKAE NAYE AJUE TASTE NA MAHITAJI YAKO AKUTENGENEZEE YA KWAKO!
kuna case huwa zinatokea watu huwa wanasingizia nyumba zina mashetani au majinamizi kumbe wamekurupuka wamejenga bila utaalam, eg hewa haizunguki ndani!
miaka mitano si mchezo, tunajifunza mengi mno! tafuta mtaalam akushauri, nzuri niliyojenga mm imetokana na site na mahitaj yangu itakubore tu!
 
Post yako nzuri sana maana inatukumbusha mojawapo ya vitu muhimu katika maisha ya binadamu na mazingira yake.
 
pole...tujifunze kujitegemea jamani vya bure mpaka lini.. I wish ungeulizia hata someone who is affordable to do for you. sasa kama hela unayo yaramani inakushida... acha hizo. Cheap is always expensive another thing is.....unajua ramani ya nyumba is something so specific for a particular person...sio tu umeona jirani amejenga na wewe unataka kama ya jirani. use your common sense. nenda ka google utapata idea ya kitu gani unataka then mtafute mchoraji ...la hasha take sometime and cre
 
JANGA LA KITAIFA HILI, WATU HAWA VALUE PROFESHEN! UNAWEZA KUPATA RAMAN NZURI HAPA UKAJENGA UKASHINDWA KUISHI KWA RAHA! MTAFUTE MTAALAMU MKAE NAYE AJUE TASTE NA MAHITAJI YAKO AKUTENGENEZEE YA KWAKO!
kuna case huwa zinatokea watu huwa wanasingizia nyumba zina mashetani au majinamizi kumbe wamekurupuka wamejenga bila utaalam, eg hewa haizunguki ndani!
miaka mitano si mchezo, tunajifunza mengi mno! tafuta mtaalam akushauri, nzuri niliyojenga mm imetokana na site na mahitaj yangu itakub
 
Back
Top Bottom