mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
- Thread starter
- #121
kukaa na kubrowse JF ni zaidi ya buku mbili !!:whistle:
Swaafiiiiiiiiiii
kukaa na kubrowse JF ni zaidi ya buku mbili !!:whistle:
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
Nyie acheni ubwege, ramani haiokotwi inadesiiniwa. archetect anaspend five damn yrs chuo kikuu we mtu mzima unaomba JF, ramani unaandaliwa kwa personal reguirement vyumba vingapi na vikaaje, orientation ya plot na upepo, terrain ya kiwanja, location etc wabongo tumezoea short cut kila mahali na haya ndo tunayoyaona mpaka top level. Na ukiona unaomba ramani Jf manake unaenda kujenga squatter area coz kama ni eneo rasmi ungetakiwa kupata building permit, leo unalaumu squater ya ma
http://www.google.com/m/search?client=ms-samsung&channel=mm
This is busness kaka ,kama kweli unahitaji NiPM. ndiyo kazi yaku hiyo inaniweka mjini.
Mkuu nahitaji ya kibongobongo Google sitoipata kama vp 2pia
Acha uvivu ingia
House Plans
malizia mkuu...tehe tehe eti kunyimwa kitumbuaaaaakama huna msaada kwake si upite ya nini kutukana .....masihara yako ya kunyimwa ...... Unawaletea watu hadharani jifunze adabu !
Duhhiyo hapo
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
Mkuu, kwa kukusaidia Nenda Google, andika FLOOR PLAN FOUR ROOMS', then angalia kwenye IMAGES utaona picha nyingi, hapo unaweza kuchagua ramani unayoipenda.Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
Mkuu, kwa kukusaidia Nenda Google, andika FLOOR PLAN FOUR ROOMS', then angalia kwenye IMAGES utaona picha nyingi, hapo unaweza kuchagua ramani unayoipenda.