Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Mimi ni mchoraji mzuri wa hizi makitu but hakuna cha bure mkulu!Kaka yawezekana ww ndo hujaelewa me nahitaji nyumba yangu iwe imepata mchango ktk jf we weka ramani 2 acha mambo mengi au hujajenga?
Mimi ni mchoraji mzuri wa hizi makitu but hakuna cha bure mkulu!Kaka yawezekana ww ndo hujaelewa me nahitaji nyumba yangu iwe imepata mchango ktk jf we weka ramani 2 acha mambo mengi au hujajenga?
Ninayo michoro ya kutosha na size tofauti, kama kweli ni muhitaji tuwasiliane PM for more information, siwezi kuiweka hapa kwani ipo katika vitabu. Utachagua uipendayo
MIZAMBWA
NABII MTARAJWIA!!!
Mimi ni mchoraji mzuri wa hizi makitu but hakuna cha bure mkulu!
sasa ww unataka dada mwenye nyumba anifukuze
hii kitu vp?View attachment 74579
elevations zipohii kitu vp?View attachment 74579
elevations zipo
Pesa yako ni fupi nini? Ona kitu kingine.View attachment 74581
au jenga hii ya chumba kimoja kimoja.View attachment 74584
Hii vipi mkuu,
Kwa hii hapa nyumba ya bei nafuu kabisa inajengeka
Haya sasa, nimekuwekea sebule na kitchen. Hapo unanunua jiko la gesi au umeme au mchina unapika mwenyewe. Sema kingineView attachment 74696