aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,435
- 20,927
Habari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu nikujengee nyumba yako, huduma ni ya kitalii ila bei ya Wazawa.
0624254690
Karibuni.
RRONDO