Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 861
- 3,238
- Thread starter
- #1,341
Ni vyema dirisha zako ukaziweka kati kati ili mkanda wako juu ya dirisha uwe na support za kuta zinazolingana (support width, kushoto na kulia)
Mfano kama ukuta wako una urefu/upana wa mita 3.6 ndani kwa ndani na dirisha lako lina upana wa mita 1.5 basi dirisha lako inabidi lianzie umbali wa mita 1.05 sawa na sentimita 105 kutokea katika kona ya chumba
X = (3.6 - 1.5)/2 = 1.05m kutokea kwenye kona ya chumba
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane