Kwa umeme wa 3phase vipi? Na bei yake?Hizi ni baadhi ya Digital timer za single phase za tronic-uwa sijawai kusumbuliwa toka nizifunge ni mkataba kama zitasumbua basi baada ya miaka 5 mbele huko
Kwa umeme wa 3phase vipi? Na bei yake?Hizi ni baadhi ya Digital timer za single phase za tronic-uwa sijawai kusumbuliwa toka nizifunge ni mkataba kama zitasumbua basi baada ya miaka 5 mbele huko
ipoje iyoMimi uwa siwanunulishi wateja iyo photocell, mimi uwa nawambia wanunue digital timer tena iwe ya Tronic au ABB ili ukifunga basi umefunga mkataba
Kawaida bomba lake huwa ni nchi 6 sawa na 150mm kwa majiko ya size ya kawaida mfano haya ya majumbani. Material yanayotumika ni steel (chuma kilichochanganywa na madini mengine kama carbon ili kuifanya isipate kutu)Kuhusu uwekaji wa kitchen vent, je ni bomba la material ipi linatumika kuwekwa ukutani kuanzia ilipo vent yenyewe hadi nje na huwa lina kipimo cha mm ngapi. Ni lazima lipite ukutani tu au linaweza kutokea juu ya ukuta na kutambaa kwenye dari hadi kuja kutokea kwenye overhang?.
Hapo huwa tunatumia mbao mbili zinazopishana upana mfano mbao ya 1x8 na mbao ya 1x6 au mbao ya 1x6 na mbao ya 1x4Hechy Essy Naomba msaada mkuu,kuhusu fishabodi zenye urembo wa ngazi,je! Ule ni ubao mmoja?
Inakuwa hivi, unaweza ukatumia mbao zinazopishana nchi 1 mfano 1x6 na 1x5Hechy Essy Naomba msaada mkuu,kuhusu fishabodi zenye urembo wa ngazi,je! Ule ni ubao mmoja?
vipi ukiweka 6 4 4 kwa ngazi tatuHapo huwa tunatumia mbao mbili zinazopishana upana mfano mbao ya 1x8 na mbao ya 1x6 au mbao ya 1x6 na mbao ya 1x4
Wengine wanaweka mbao tatu yani 1x8, 1x6 na 1x4 ili kupata ngazi 3
Elfu 40 mkuuHz ni Bei gani?
Unaweza ukawa unatumia umeme wa 3 phase ila taa unazotumia ni single phase kwa iyo usiogope hata viwandani mashine zinatumia 3 phase ila taa single Phase.maana yake katika izo phase 3 utachagua phase moja unapeleka kwenye taa.taa ya 3phase hakuna boss wangu kwa hapa TanzaniaKwa umeme wa 3phase vipi? Na bei yake?
Hii inafungwa juu kwenye connection ya taa za nnje.mim ya kwangu nime set saa 12 na dakika 40 iwashe taa, alafu saa 12 asubui ijizime.iyo ni kila siku yenyewe itakuwa inafanya kazi iyo tu hata umeme ukikatika ina betri yake ya kutunza kumbukumbu inakaa hata miezi 3.umeme ukirudi inaendelea pale paleipoje iyo
Ukiweka 6 4 4 bado itaonekana kama ngazi mbili, labda uweke 6 5 4 kwa maana ya 1x6, 1×5 na 1x4vipi ukiweka 6 4 4 kwa ngazi tatu
kwa nini ionekane ngazi mbili wakati zipo mbao 3Ukiweka 6 4 4 bado itaonekana kama ngazi mbili, labda uweke 6 5 4 kwa maana ya 1x6, 1×5 na 1x4
Kwa sababu mbao mbili zitakuwa zinalingana upana, ili ngazi ipatikane kati ya mbao moja na nyingine inatakiwa hizo mbao zipishane upanakwa nini ionekane ngazi mbili wakati zipo mbao 3
mkuu asante kwa elimu,nyumba inahitaji fishabodi 18,kwamaana hii ninapaswa kununua mbao 54 kwaajili ya ngazi 3. Je! Napaswa kuzipeleka kwenye karakana au fundi mwenyewe atatengenezea site?Kwa sababu mbao mbili zitakuwa zinalingana upana, ili ngazi ipatikane kati ya mbao moja na nyingine inatakiwa hizo mbao zipishane upana
Hapana, hiyo ni kazi ya fundi ila wakati mnakubaliana bei ya ufundi inabidi umuambie kwamba unataka fascia board ya aina hiyo maana kawaida fascia board huwa ni mbao moja.mkuu asante kwa elimu,nyumba inahitaji fishabodi 18,kwamaana hii ninapaswa kununua mbao 54 kwaajili ya ngazi 3. Je! Napaswa kuzipeleka kwenye karakana au fundi mwenyewe atatengenezea site?
daah!sina mengi lakini, Ubarikiwe na MUNGU,ndugu yanguHapana, hiyo ni kazi ya fundi ila wakati mnakubaliana bei ya ufundi inabidi umuambie kwamba unataka fascia board ya aina hiyo maana kawaida fascia board huwa ni mbao moja.
Pia utakaponunua hizo mbao, usisahau kwenda kuziranda, na kama hazijanyooka vizuri uwaambie wakuchongee mbao za upana flani ili kuonndoa sehemu ya mbao iliyopinda mana huwezi ukakata kwa msumeno wa kawaida ikanyooka
Amina ndugu, tubarikiwe sotedaah!sina mengi lakini, Ubarikiwe na MUNGU,ndugu yangu