Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

Je wajua, mtu aliyepo nje ya chumba anaweza akachungulia ndani kupitia tundu la kuingizia funguo kwenye kitasa na akaona mpaka ndani?

Kipindi cha nyuma kidogo kulikuwaga na vitasa flani ambavyo kwa ndani vilikuwa na kamfuniko juu ya tundu la funguo ambapo ukiingia ndani na kufunga mlango, unaweza ukauzungusha huo mfuniko kwa chini kuja kuziba tundu la funguo lakini siku hizi hivyo vitasa havionekani (vimekuwa adim sana)

Wengine huwa wananing'iniza funguo kwa ndani ili kuziba hilo tundu lakini kwa utafiti nilioufanya nimegundua bado kuna nafasi ndogo inabaki pembeni ya funguo ambapo mtu bado anaweza akachungulia na akaona mpaka ndani.
 
weka suluhisho sasa
 
Kabla ya kuanza kupigilia bati, pigilia kwanza mbao za fascia board ndipo bati zifuate. Hii itakupa uhuru wa kupigilia fascia zako juu na chini bila kuzuiwa na bati ambapo inaweza ikamjeruhi kwa kumkata fundi in case kama nyundo itateleza kwenye msumari
 
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini katika majengo ya ghorofa huwa wanaweka nyavu kuzunguka jengo?

Sasa moja ya kazi nyingi za hizi nyavu ni kuzuia watu waliopo ndani ya jengo wasione mbali (nje ya jengo), hali ambayo inaweza kuleta kizunguzungu na mtu kudondoka chini

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Aisee z
Nlizan ni kuzuia mibao au bati ikiachia juu ikadondoka basi isiumize wapita njia.
 
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini katika majengo ya ghorofa huwa wanaweka nyavu kuzunguka jengo?

Sasa moja ya kazi nyingi za hizi nyavu ni kuzuia watu waliopo ndani ya jengo wasione mbali (nje ya jengo), hali ambayo inaweza kuleta kizunguzungu na mtu kudondoka chini

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Mimi nilijua ni kwa jili ya kuzuia vitu vikidondoka visiwaumize watu waliopo chini au wapita njia.
 
PLN 0001 2BR

Ramani ya Vyumba Viwili
  • Living room (Sebule)
  • 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
  • 1 Single bedroom
  • Kitchen (Jiko)
  • Public toilet (Choo cha jumuiya)
Ramani hii ina privacy na ventilation ya hali ya juu sana

Bei: Tsh. 100,000/=

Ramani inakuwa na Makadirio yake ya vifaa vya ujenzi kuanzia hatua ya msingi mpaka finishing ambapo itakusaidia kukuongoza katika manunuzi ya vifaa na kuepuka kulanguliwa na mafundi wenye tamaa ya kukuzidishia hesabu ili wajinufaishe zaidi.
View attachment 2694970
Hiyo nyumba Au Kanisa?
 
Kwa kawaida mfuko wa cement ya Twiga plus au namba 42 unatakiwa kujenga tofali ngapi za kusimama au za ukuta?
 
Tofali 60 mpaka 70 japo inategemea pia na factors zingine kama vile aina ya mchanga utakaotumika (mchanga wenye vumbi jingi unakula cement nyingi), na unene wa udongo (mortar).
Mzeya chumba cha 3m x 3m kinakula tofali ngapi?

Plaster nayo mfuko mmoja wa cement ina cover sqm ngapi. B
Plater ya ndani na pia plaster ya nje
 
Kabla ya kupandisha kuta za boma, hakikisha unajaza kwanza kifusi kwenye msingi. Kwanini? Ukijenga kuta za boma kabla ya kujaza kifusi, maana yake kuna sehemu zingine hutoweza kurusha kifusi ukiwa nje ya nyumba hivyo itamlazimu mtu anayejaza kifusi asombelee kifusi kwa ndoo kutoka nje na kuingia nacho ndani

Katika ujenzi ukiruka step moja wapo au ukabadilisha mtiririko wa kazi, huko mbele kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama zaidi
 
Kama kiwanja chako kiko flat, unaweza ukatumia tofali kusetia msingi badala ya mbao (haina ulazima wa kutumia mbao za profile)
Mbao za profile huwa zinatumika zaidi katika kiwanja ambacho kina mteremko mkali (lengo hasa ni kupunguza gharama za ujenzi)
 
Back
Top Bottom