Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

Eneo la fut 40 kwa 25 naweza pata
  • Vyumba viwili masta
  • Sitting room
  • Dining rm ilioungana na jiko
  • Kastoo kadogo
 
Eneo la fut 40 kwa 25 naweza pata
  • Vyumba viwili masta
  • Sitting room
  • Dining rm ilioungana na jiko
  • Kastoo kadogo
Unauliza au unatuambia??
Maana kizazi cha siku hizi uandishi wenu wa ajabu sana.
 
Unauliza au unatuambia??
Maana kizazi cha siku hizi uandishi wenu wa ajabu sana.
Usipo elewa swali au sentensi basi ujuwe haikulengi wewe....muhusika atajibu tu

Kuna utofauti kati ya naweza pata na unapata
 
Usipo elewa swali au sentensi basi ujuwe haikulengi wewe....muhusika atajibu tu

Kuna utofauti kati ya naweza pata na unapata
Pathetic..!!
Kwa hiyo siku hizi mashuleni ndio mnafundishwa kuuliza bila kuweka question mark??
 
Pathetic..!!
Kwa hiyo siku hizi mashuleni ndio mnafundishwa kuuliza bila kuweka question mark??
Ukisema tuje kwenye lugha mkuu.....apo nikikuuliza mashuleni ndo Kiswahili gani hicho?
 
Ukipita kwenye fremu za biashara, utaona fremu nyingi switch zake za kuwashia taa za nje zipo nje kwa kigezo kwamba kila mwenye fremu ataweza kuwasha na kuzima hizo taa.

Sasa hii kiusalama sio nzuri kwa sababu utakuwa umempa access na mtu mwenye nia ya kutaka kuiba kuweza kuzima taa kabla ya kutekeleza dhamira yake

Njia sahihi na salama ni kuweka switch ndani katika kila fremu ambapo hii itakuwa inawapa wahusika tu access ya kuzima na kuwasha taa. Switch zinazotumika katika huu mfumo ni switch za njia mbili (2 way switch) na intermediate switch (kama fremu zinazidi mbili)
 
Hapo kwenye upana wa kiwanja ni changamoto ndg
Contents ni nyingi, kiwanja ni kidogo.
Mkuu mie nina garage ya uregu wa 7m na upana wa 4.5m sasa nataka nigeuze kawe ka studio apartment cha kupata hela za wazinzu wezangu🤣🤣🤣🤣

Nataka niweke ukuta wa partition ili nipate choo na bafu lets la 2m x 2m. Hapo naje gaje tofali ukizingati nitakapo jengea huo ukuta kwa juu hamna lintel? Au je kuna njia nyingine ya kujenga partion pasipo kutumia matofali au nitumie matofali lakini niyalaze all the way kwenda juu bila kuweka lintel ukuta utakuwa stable?
Hapo kwenye upana wa kiwanja ni changamoto ndg
Contents ni nyingi, kiwanja ni kidogo.
 
Kabla ya kukata nondo kwa ajili ya kufunga mkanda, anza kuangalia kwanza ni beam ipi na ipi itaweza kushare nondo moja bila kubaki na wastage au kubaki na wastage ndogo.

Ukishapangilia hivyo, itakusaidia kujua baada ya kukata nondo za beam B1, kipande kitakachobaki kitaenda kukaa katika beam B5 bila baki vinginevyo utajikuta umekata ñondo ya mita 5 ili iende kufit kwenye mkanda wa mita 4 wakati kuna mikanda miwili ya mita 3 na mita 2 ambayo ingeweza kufit bila wastage.

Ukishakata nondo ya mita 5 ili iende kutumika katika mkanda wa mita 4 maana yake utabakiwa na vipande vya mita 1 ambayo pengine hutoweza kuvitumia mahali pengine

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Kila kinachofanyika site ambacho unaona sio kawaida au kikakupa maswali ya kujiuliza basi ujue kuna sababu yake maalum.

Mfano no 1:

Katika ubandikaji wa tiles mfano chooni, unaweza ukajiuliza kwanini huwa zinaanza tiles za ukutani halafu tiles za sakafuni ndio zinafuata. Lakini pia utajiuliza kwanini hizo hizo tiles za ukutani wakati wa kuanza kubandika huwa hazianzii chini kabisa kwenye sakafu.

Majibu yake:
Huwa zinaanza tiles za ukutani kabla ya tiles za sakafuni ili kutochafua tiles za sakafuni (kuepuka mikwaruzo) lakini pia ukianza kubandika tiles za sakafuni inawezekana kitu kizito kikadondokea sakafuni wakati unabandika tiles za ukutani na kikavunja tiles za sakafuni ambazo tayari umeshazibandika.

Kitaalam tiles za ukutani zinatakiwa zisimame juu ya tiles za sakafuni, sasa kwa sababu tunaanza na tiles za ukutani basi row ya kwanza ya tiles za ukutani kutokea chini huwa inabandikwa mwishoni baada ya kumaliza kubandika tiles za sakafuni.

Picha ni kwa hisani ya mtandao

Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu Ujenzi tuwasiliane
 
Attachments

  • 20261106_084727.jpg
    20261106_084727.jpg
    101.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom