Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Wana JF,

Mengi sana yameongelewa humu na wachangiaji mbali mbali mimi naomba niweke kitu kimoja tu wazi, hizi habari zimekuja zimechelewa sana na ni baada ya uchunguzi wa siri kufanyika kabla ya kutolewa kwenye vyombo vya habari. "JUST CACHE" NI NANI ALIYEGUNDUA KWAMBA KUNA ARV'S FEKI KUTOKA KIWANDA CHA TPI? Kuna mtu yeyote anyeweza kutoa jibu au kukisia ni nani aliyetoa taarifa kuwa kuna ARV'S.

Ngoja nitafute Email niliyotumiwa mwezi wa 6 ikieleza ni nani halafu nitai-upload jinsi ilivyo muweze kubaini ukweli. Familia ya MADABIDA wanaonewa.

At least Wauwaji wanaweza kupata watetezi..its ONLY IN TANZANANIA..Ingekuwa China au hata hapo Rwanda tu ...hawa wangekuwa wapo kwenye DEATHROW ...either by firing squad or kitanzi.....hadharani....Ndio maana kwenye katiba mpya askari wengi wanapendekeza hii adhabu...
 
Kwa wenye uzoefu computer yangu ingoma kuprint screen msaad tafadhali
 
Usifanye Print screen itakuja na Details zako, copy na kupaste hapa bila ya kuweka email yako au Mtumie Invisible itaiweka hapa kwa kuhide your email

Mkuu nashukuru kwa advice yako,

nimesha iprint screen na nimeondoa details zangu na iko tayari kama jpeg file, sijui namna ya ku-upload nime m pm Invisible anionyeshe namna ya ku upload file. Nitaomba tu aikuze kwa benefit ya wengi halafu nitawapa clue ya kilichotokea. In fact ni email ya mwezi august sio june sorry for that
 
Mkuu nashukuru kwa advice yako,

nimesha iprint screen na nimeondoa details zangu na iko tayari kama jpeg file, sijui namna ya ku-upload nime m pm Invisible anionyeshe namna ya ku upload file. Nitaomba tu aikuze kwa benefit ya wengi halafu nitawapa clue ya kilichotokea. In fact ni email ya mwezi august sio june sorry for that


Mkuu it is simple

Uneweza kuiweka wewe mwenyewe nkwenye sehemu ya kuandika click "GO ADVANCED" ikifunguka chini utaona seheme wanakwambia "ATTACH"
 
syndicate inayohusika ni kubwa sana...kubwa mno..kusimamishwa kwa mkurugenzi wa MSD kunakiuka taarifa iliyotolewa..taarifa inataka hata hao kina madabida na wenzake wakamatwe mara moja lakini kwa kuwa kikundi hicho kipo mpaka sebuleni kwa ''mwenye nyumba'' basi hakuna kingine zaid kitakachotokea..

Hizo dawa zimeuzwa nje ya nchi au zilitengenezwa 'maalum' kwa watanzania pekee?

Kuna madhara ya aina mbili ya hii skendo; moja, afya za watu zimewekwa rehani na hivyo uhai wao unakuwa mashakani pia. Pili, Tanzania inajijengea sifa mbaya kwamba products zake haziaminiki. Kwa wakubwa wanaopiga kelele za kutaka kuongeza exports hili ni doa kubwa. MADE IN TANZANIA imeharibiwa sana.
 
Hawa ni wanachama wa CCM, wanaua watu halafu serikali imekaa kimya tu badala ya kuwapandisha kizimbani.


Nasikia kwa ndumba ni hatari ndo maana wanaogopwa. hata JF wote mliowaandika subirini wote mtatupiwa jini na albadiri juu.
 
Mkuu it is simple

Uneweza kuiweka wewe mwenyewe nkwenye sehemu ya kuandika click "GO ADVANCED" ikifunguka chini utaona seheme wanakwambia "ATTACH"
huyu rar asikuzengue

Kama CEO wa MSD amesimamishwa kwa implication, how come TPI owners wasiwe responsible??

how did they manufacture batch a, b, and d wakaruka c??

kuna mengi yatafumuka na mie nasubiria kwa hamu sana... hata kama hawajahusika, basi uozo mkubwa wa mfumo uliopo sansa utaibuka

vipi kama hilo soo lote wala halihusu tfda, tpi, msd nk bali linahusu watu kama watatu tu msd walioiba mzigo wakaubariki kivingine warudishe kwenye circulation kwa ajili tu ya hujuma??

there are 40 theories existing kwenye hili jambo lakini majority hawawezi kuwa wrong
 
Mbona mna mbold MADABIDA tu,yule aliyejenga lile jumba jeupe linalomeremet kwa mataa Mbezi Beach jirani na Joseph Kussaga hamumtaji?,kale ndioo kanatakiwa kakanywe mapema,manake MBUYU ulianza kama MCHICHA.
 
Huyu Madabida anaonekana kuwa hicho kiwanda ata mtaji wenyewe mgogoro.

Aidha, Jaji Werema alisema katika nyaraka hizo zimeonyesha makubaliano ambayo yalisainiwa na Madabida kama Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Pharmaceutical ambayo ndiyo ilikuwa mkopaji mkuu na pia Madabida alisaini kama Mkurugenzi na mtoa dhamana (guarantor) wakati Shamte na mkewe Madabida anayeitwa Zarina Madabida, ambaye ni Mwenyekiti wa UWT-CCM Mkoa wa Dar es Salaam, ambao wote ni wakurugenzi wa kampuni hiyo walisaini kama watoa dhamana (guarantors).

*Kwenye utetezi wao, wadaiwa kupitia Madabida walikana kuhusika na deni hilo na badala yake alidai benki ndiyo iliyopaswa kumlipa fidia ya dola za Marekani 105,000, ambazo alitozwa na Medical Store Department (MSD), baada ya benki hiyo kuchelewa kufungua kile alichokiita Local Letters of Credit.

Alidai kuwa Kampuni ya Pharmaceutical iliingia mkataba na MSD ya kusambaza au kuwapatia dawa mbalimbali za thamani ya dola za Marekani milioni 5.1, ambazo wangeziagiza kutoka nje ya nchi na kwa kuwa kampuni hiyo haikuwa na mtaji wa kutosha, iliiomba MSD ifungue hiyo Local Letters of Credit ambapo wangeitumia kufungua kile alichokiita ‘Slave Letters of Credit’.

Madabida aliiambia mahakama kuwa MDS ilitimiza utaratibu huo mwaka 1997 lakini Benki ya Stanbic ilikataa utaratibu huo na baadaye kubadili uamuzi wake na kuikubalia MSD kufungua hiyo Local Letters of Credit mwaka mmoja baadaye na hivyo kuchelewesha usambazaji wa dawa hizo, kitendo kilichoigharimu kampuni na kutozwa kiasi hicho cha pesa kama fidia.




juu

Kama RICHMOND vileeeeeee
 
Naomba niseme, hiyo circled in yellow it is the whole clue, TPI hawana hii packaging, i have been to industrial espionage for sometime kwa ajili ya marketing, kuna watu wamefoji lakini wakakosea kidogo,smal mistake can make a massive mistake. Invisible naomba uikuze isomeke halafu nitasema kwa nini ARV.jpg
 
hili ni suala la mtu binafsi tunapaswa kumlaum/ kumhukum madabida sio ccm

Nafikiri ccm inachotakiwa kufanya ni kuwavua nyadhifa zote wabaki wakitapatapa wenyewe. Wakishtakiwa kama watu wakawaida hawa bila nyadhifa zao hizo hawaponi.
 
Mkuu Kachanchabuseta,

nashukuru kwa kunipa moyo, ukweli utasimama mahala pake
 
Naomba niseme, hiyo circled in yellow it is the whole clue, TPI hawana hii packaging, i have been to industrial espionage for sometime kwa ajili ya marketing, kuna watu wamefoji lakini wakakosea kidogo,smal mistake can make a massive mistake. Invisible naomba uikuze isomeke halafu nitasema kwa niniView attachment 67861

Ukisoma Dailynews la jana na hii email,unaona kuwa hawa jamaa walitumia nyaraka fake na kusupply hizi dawa fake MSD.so inaonekana watu fulani walienda china wakapack unga wa muogo,wakatoa kitu kidogo kwa MSD management,then mzigo ukawa delivered watu wakajipatia mahela maisha yanaendeleaa.kwa kuzipack na kuzisuply MSD,TDFA wanakuwa wamerukwa na awawezi gundua kitu(hapa pia kuna maofisa wa TRA nao wanausika,why wanakubari ingiza dawa made in Tanzania wakati zimeingia kwa meli au ndege hapa nchini?batch hii fake itakuwa zaidi ya containes 10 zimepita wapi?ni kweli TRA aina watu wenye macho?)Du hii organized crime sio mchezo
Hii inaonyesha kuwa kuna ufisadi mkubwa sana tena sana MSD na maisha ya watanzania wengi yamepotezwa na hawa wauaji wa MSD,kuna watu wamebabuka tokana na madawa ya malaria na wengine kufa,kuna watu wamepata ata kupooza tokana na madawa hapa Tanzania.MSD wakishapata go ahead ya kusambaza dawa fulani wanafanya ufisadi na mapatner wao kwenda china wanapack unga wa muhogo then wanaingiza kwenye supply system ya dawa zinazoenda kwenye mahospital nchi nzima je wameanza lini?je ni aina ngapi za madawa wamezisupply?,wamevuna mabilion ,true hawa watu ni mass killers,hawana tofauti na watu kama sadam husein na hitler,uchunguzi ukifanywa unaweza baini watanzania mamilion wameuwawa kwa tamaa ya pesa na watu hawa MSD.watoto wangapi wamedungwa maji badala ya kinga?.....Ee Mungu tupiganie maana tumezungukwa na wauaji.kwa huruma yako endelea kuwafichua amen
 
Back
Top Bottom