Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Wale jamaa zangu wanaoendeshaga Magari huku wamewasha Taa mchana nishajua hela ya kununua hayo magari wanayapata wapi?

Nina uhakika nami nikikaa chini nikakuna kichwa sikosi kuibuka na mchongo dizaini hizi. Hii Bongo nishaona bila kujituma hata kwenye Magumashi hailipi.
 
Kuwafukuza kazi ama kuwasimamisha kazi watu wa MSD kwa skendo ya ARV feki ni kuwaonea, walistahili kuwajibishwa kwa skendo ya kununua dawa zilizo expiry si hili la ARV feki.

Katika skendo hii walitakiwa kukamatwa na kushitakiwa Madabida mke na mume, TFDA na TBS. Kwa uelewa wangu sidhani kama MSD wanauwezo wa kutambua dawa feki ndio maana serikali ikaanzisha TFDA na TBS.

Mtaalam umeongea point nzuri sana I like your approach. TFDA and TBS walikuwa wapi wakati wa mchanganuo mzima wakununua hizo ARV. Na je? MSD walitumia taratibu zipi mpaka kufikia ununuzi wa hizo dawa I hope investigation itajibu maswali haya. BUT ALL IN ALL IT IS INHUMANE TO PROFIT ON POOR SICK CITIZENS. I HOPE THE LAW WILL TAKE ITS CAUSE.
 
kama kawaida ya watanzania, maneno chungu nzima vitendo ziro, hivi wanasheria wa nchi hii wanakuaga wapi? wao mageuzi hawajihusishi nayo au kwa sababu siku hizi kunakuteuliwa hata bila qualification? hebu pelekeni mahakamani haya mambo ya kama ni mtu asiyewapenda katengeneza feki ama vipi hawawezi kuyajua wao watuhumiwa. Hiyo ni kazi ya mahakama, lakini track record inaonekana hawa ndio walivyo wako tayari kuvunja chochote kwa maslahi yao hata kama madogo, serikali ya Tanzania imeingia kukataliwa na wafanyabiashara wa Comoro, soko lililopua na mdomo na lililokua linawafaidisha wafanyabiashara wa kawaida baada ya mdogo wa huyo mama wa kiume kuwatapeli wafanyabiashara hizo pounds, malalamiko yako wizara ya mambo ya nje kwa maandishi, leo hii juhudi zote za kuboresha uhusiano wa kibiashara na Comoro unajibiwa kwa swala la wizi wa huyu bwana wa paundi za kimarekani kama 30m au 60m, can you imagine? ndio maana biashara yetu na comoro imebaki ya kwenye videbe vya nyama na rambo za nyaya tu, imagine? biashara hawaijua ni kulazimisha na wizi sasa jamani kama vipi wananchi watachukua sheria mkononi, hao waathirika wako wapi waweke wanasheria? aibu toeni hilo gonjwa ni la kila mtu
 
MKUU KAULI YANGU SI SHERIA,NAPENDEKEZA TU TUPIME MAMBO,KWANI SERIKALI IMESEMA MANGAPI NA TUNAYAPINGA?TUNAYAONA YAKO FEKI? IWEJE LEO WANACHOSEMA KIONEKANE SAHIHI BILA KUSIKILIZA PANDE ZOTE MBILI?
HEMU CHEKI PROCEDURES ZA KUPOKELEWA DAWA MSD..

The Procedure for the delivery of medicine to MSDis as follows:-
a) A product is delivered and is received at MSD receiving bay with
the necessary documents.


b) The medicines are subjected to quality control which includes
examination of the packaging and the taking of the samples.


c) It is only after the medicines have been released by the quality
control department that the documents are released to the
other departments for processing of the payment.


Naamini this procedure makes it impossible to deliver fake medicines to MSD,mpaka wanazisambaza meaning waliruhusu mzigo una viwango vinakubalika,toka march 2011 mpaka August 12 miezi 16 imekuwaje muda wote huu kama si hujuma??

Nasisitiza hemu tulipime hili kinaga ubaga!

Drsiraha I like your approach katika mjadala huu, kabla wana JF members hatuja make conclusion lets check the procedure za MSD, na facts zote ambazo zimeweka na vyombo mbalimbali. Mojawapo la kujiuliza je MSD wanapokeaje madawa na ni taratibu zipi zinatumika kwa wao kuhakiki hayo madawa na kutoa go ahead madawa yawe distributed kwenye idara zake zote nchini. Kwa kweli inabidi tu question the whole process
 
Lets go back to the drawing board. Zarina, mfamasia wa serikali wa siku nyingi aliyepata bahati ya kuuziwa kiwanda cha serikali. mara tip tap dili la ARV likaibuka na kuliwin, hebu check budget ya serikali jinsi mihela inavyojielekeza kwenye mfereji wa kina madabida. Kwanini ili uwe mfanyabiashara lzm uwe na hisa za chama. conect dots halafu ndo ujue kwanini sisi bado ni masikini.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
MDAU Philmon any company anywhere can be victim to #counterfeit of its products, doesn't mean they made them nor justify unproven attribution,counterfeiting ni tatizo kubwa sana dunia,kuwa sole supplier wa arv inakuwa rahisi kama ivo mtu kutengeza feki kwa jina la kampuni knowing kuwa ngumu kugundulika,fatilia Jina la dawa,vidonge size shape and color,nembo,packaging,batch number zote hazifanani na original product,uzalishaji wa dawa haufanywi kienyeji kama unavosema kuwa wamesubcontract india etc kumbuka MSD wana vipimo bora kabisa vya ugunduzi,na kabla kupokea mzigo lazima watest dawa kabla ku authorise distribution..Baada ya miezi 16 ndo unagundua kuna dawa feki?? hemu tusiwe wavivu wa kufikiri..

MDAU DR SIRAHA....SASA LABDA UTUELEZE ..KAMA SOLE SUPPLIER WA DAWA ZA ARV MODEL HIYO NI KIWANDA CHA TPI....NA MTEJA NI MMOJA ....MSD....,KAMPUNI NYINGINE IMETENGENEZA DAWA FEKI ZA KUMUUZIA NANI?? KAMA SIO HAO HAO TPI ...WANATAKIWA WATUAMBIE KAMA TAIFA KILICHOTOKEA...

NI KAMA KUSEMA KUSEMA LEO MTU ANAFOJI SPARE ZA TRENI NA KUZIUZA KARIAKOO WAKATI INAJULIKANA WAZI KUWA WATUMIAJI WA SPARE HIZO NI EITHER TRL AU TAZARA...???? ....MTUMIAJI WA ARV [model hiyo} ni MSD.....SASA UTAFOJI UMUUZIE NANI...NA HATA MAHOSPITALI ZINATOLEWA BURE????

TUKUBALIANE TU KUWA THIS ISSUE IS BIGGER THAN WHAT WE MAY THINK AND IS FISHY!!!!...HAPA NDIPO UMAHIRI WA TISS UNAHITAJIKA .....KULETA MAJIBU HARAKA ...TUJUE BASI NCHI IMEVAMIWA NA MAADUI WA NJE ....WAMEPENYEZA ARVs FEKI....ILI KUUWA RAIA WETU....THIS IS MEDICAL[Biological] ESPIONAGE ....DO we have any counter measures....za kupambana na uharamia dhidi ya taifa letu wa kisayansi ,kimatibabu,kibiashara...etc au tumekazania tu kupambana na magaidi ,wanasiasa na kuwalinda Viongozi...Presidential Security....

Tuambieni kama nchi ipo vitani ...imevamiwa na maadui wanataka kutuangamiza kupitia matibabu mabovu...,dawa mbovu au innoculations ???
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mtaalam umeongea point nzuri sana I like your approach. TFDA and TBS walikuwa wapi wakati wa mchanganuo mzima wakununua hizo ARV. Na je? MSD walitumia taratibu zipi mpaka kufikia ununuzi wa hizo dawa I hope investigation itajibu maswali haya. BUT ALL IN ALL IT IS INHUMANE TO PROFIT ON POOR SICK CITIZENS. I HOPE THE LAW WILL TAKE ITS CAUSE.


Hivi TFDA and TBS wametoa kauli yoyote?
 
Wakuu,

Nimekaa,nimejiuliza na kutafakari kuhusu "Integrity" ya wamiliki hawa wa TPI (Tanzania Pharmacetical Industries Limited).Ikumbukwe wamiliki wa kampuni hii ni familia ya Madavida (samahani kama nimetohoa jina) ambaye Baba kateuliwa juzi kuwa Mwenyekiti wa Magamba DSM na mama kuwa mwenyekiti wa UWT -DSM.

Katika Chaguzi zote hizi watu hawa wamepita kwa style ile ile ya ushindi wa kutoa Ngawira (Rushwa) kwa wapiga kura wao! Hawa ndiyo watu wanaomiliki kiwanda ambacho kinatengeneza ARV's ambazo wagonjwa wanatumia katika kusogeza siku za maisha yao,ni hawa wamiliki ambao wametengeneza dawa zisizokidhi viwango na kuzisambaza kwa wagonjwa! Huu ni uuaji wa wazi wazi lakini cha kustaajabisha ndio Viongozi wa CCM! Shame on them.

Mimiliki pamoja na kuandikiwa na TFDA kuhusu kusimamisha uzalishaji kwa barua ya kumbukumbu Na CA/C.80/222/01A/55 mmiliki anasema hajapewa barua kutoka katika mamlaka ya udhibiti! Hichi ni kiburi cha mafisadi wa TZ.

Hivi mtu ambaye anaweza kutoa mamilioni ili apate Uwenyekiti wa CCM Mkoa,anashindwaje kuruhusu madawa ya Low Quality ili ayauze kwa bei ilie ile ya High Quality product ili arudishe hela zake alizohonga wakati anaomba kuchaguliwa kuwa M/kiti wa magamba?

Nadhani ifike wakati watu amabao wanaomba nafasi za kibiashara katika sector nyeti kama hii ya madawa wawe scrutinize Integrity yao katika jamii,wamiliki kama hawa ambao tayari wapo katika chama cha wala Rushwa hawawezi kuwa safi hata katika Biashara wanazoongoza!

Ni kama Mbunge Aziz Abood wa Morogoro,alipewa viwanda amabavyo vilikuwa vinaajiri watu zaidi ya 3000 leo kabadili matumizi kaweka TV station yake na Redio waajiriwa hawazidi 20 na kingine anafugia Mbuzi,halafu eti anagombana na manispaa ikihamisha watu eneo fulani eti watakosa ajira,wakati anaharibu ajira za watu 3000 hakuona suala la ajira? Unafiki Mkubwa!! ndio wale wale akina madavida!!

Nawakilisha
 
Unaweza hapa kueleza kwa ufupi tu kama Madabida ameuza ARV fake? If that is so,nadhani mkakati wake wa kuwania kuwa Mwenyekiti wa CCM Dar es salaam utaishia hapo.
Madabida ni schoolmate wangu,tumesoma wote primary school.

Kuna mchezo mchafu hapa. Ina maana MSD hawajui nini wanasambaza hata kama zimexpire atakayekamatwa ni mtengenezaji. Mi siamiji kama kweli ni madabida. Let us trck the issue from production to distribution. mathalani leo hii tukipeleka wataalamu pale kiwandani wanaweza kutrack kujua nini kilichanganywa na nini kwa rekodi zilizopo kiwandani?.
 
Unaweza hapa kueleza kwa ufupi tu kama Madabida ameuza ARV fake? If that is so,nadhani mkakati wake wa kuwania kuwa Mwenyekiti wa CCM Dar es salaam utaishia hapo.
Madabida ni schoolmate wangu,tumesoma wote primary school.

Kuna mchezo mchafu hapa. Ina maana MSD hawajui nini wanasambaza hata kama zimexpire atakayekamatwa ni mtengenezaji. Mi siamiji kama kweli ni madabida. Let us trck the issue from production to distribution. mathalani leo hii tukipeleka wataalamu pale kiwandani wanaweza kutrack kujua nini kilichanganywa na nini kwa rekodi zilizopo kiwandani?.
 
Kuna mchezo mchafu hapa. Ina maana MSD hawajui nini wanasambaza hata kama zimexpire atakayekamatwa ni mtengenezaji. Mi siamiji kama kweli ni madabida. Let us trck the issue from production to distribution. mathalani leo hii tukipeleka wataalamu pale kiwandani wanaweza kutrack kujua nini kilichanganywa na nini kwa rekodi zilizopo kiwandani?.

What are you talking about? Madabida ameshinda,this thing is over.
 
Back
Top Bottom