Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Jamani wakuu huyu ZARINA MADABIDA si ndo yule mbunge wa viti maaluu ccm?
:sick:
 
Hiyo ndio serekali ya ccm na kuna siku utakuja kusikia wameingiza dawa za kulevya ili tu wapate pesa za kampeni
K
Cku gani tena wakati ma drug lord wanajulikana na wanatembezewa kikapu ili wachangie magamba ili wasifuatiliwe!
 
Jamani wakuu huyu ZARINA MADABIDA si ndo yule mbunge wa viti maaluu ccm?
:sick:
Umeshajijibu, na mume wake alikuwa mgombea wa CCM huko Kilwa akipigwa chali na mgombea wa CUF. Yani walitaka hawa mpaka wakienda Dodoma Bungeni wawe wanagongana ngozi tu Hotelini,
 
Wasitegemee kutendewa haki yoyote kupitia mahakama magamba. Nchi imeoza inabidi kupata utawala mpya tu hili ndilo litakalonusuru nchi yetu, vinginevyo hali ndio itazidi kuwa mbaya.

Waathirika nao wanatakiwa waifikishe mahakamani serikali,huu ni uuaji jamani
 
Halafu mtu anishawishi nimchague ZZK awe presdaa 2015??? Anao ubavu wa kupambana na huu mtandao mpana wa ulaji rushwa, roho mbaya, uuaji na udhalilishaji wa watanzania unofanywa na CCM. Kwa ujumla CCM imeoza kila upande na kila anayejihusisha na hiki chama kuna kitu ameficha nyuma ya pazia kama hawa akina Madabida

Jamani watanzania tuamke, huu ufisadi uliokamata kila sekta ya nchi mapambano yake sio mzaa, yanahitaji kuitokomeza CCM kwanza...

...........mbona unachanganya mambo mzee ? ZZK kaingiaje ? au anaechaguliwa anaenda kupigana nao ?
 
Umeshajijibu, na mume wake alikuwa mgombea wa CCM huko Kilwa akipigwa chali na mgombea wa CUF. Yani walitaka hawa mpaka wakienda Dodoma Bungeni wawe wanagongana ngozi tu Hotelini,
Kule Kilwa aliangushwa na jamaa mmoja anajiita "*****". Kuna wakati mapesa sio kila kitu.
 
pole kwa kuwa na skulmate MUUAJI! hafai kwenye jamii, ni zaidi ya mnyama wa porini! ARV'S ZINATESA SANA, HALAFU ZIWE FAKE??? WHAT A TORTURE! NAWAPA POLE WAATHIRIKA WOTE WALIOZITUMIA, OUR LIVING GOD WILL SEE YOU THRU!

Ndio maana waathirika wa HIV/AIDS wamekuwa taabani kipindi hiki wakati wakiendelea na dozi zao. Yawezekana hii ndo sababu.
 
Huu ni mradi wa Lumumba kama ule wa SUKITA....

Nape ..aje hapa atuambie ...,tunajuwa makampuni mengi tu ambayo yanamilikiwa na ccm kupitia makada wake kwa mgongo wa nyuma kwa minajili ya kukiwezesha chama kiuchumi....Green Company Limited ..etc ambayo nayo inaagiza madawa nje kati ya shughuli nyingine..., Pia kuna MWANANCHI GOLD COMPANY ....Ambayo ilichota pesa benki kuu kwa ajili ya kujenga gold refinery or similar stuff...

Na hii Tanzania Pharmaceuticals ambayo ni mwavuli wa kukiwezesha chama na vigogo kiuchumi kupitia tatizo la UKIMWI ambalo limeshaadhiri kila kaya...hapa nchini ...pasipo na shaka yeyote....watu wameamua kutupa wananchi au wananchi wenzetu wenye matatizo haya ...vidonge vya uwongo [Placebo] ....ili wajichotee fedha za Millenium Goal ambazo zimetoka kununulia wagonjwa ARV ,Za Wafadhili wengine pamoja na za bajeti ya nchi...

Fungueni kitabu cha bajeti muone ni bilioni ngapi zimetengwa kwa ajili ya kununua ARV toka basket fund..its billions...!!
Philemon nakubaliana nawe 100%. Lakini bado sijaamini kuwa TZ ina aina gani ya raia!! hivi hili ni jambo dogo? Mtu anapelekea mauaji kwa uroho wa fedha bado tumenyamaza!! Ipo siku mitaani hapatakalika!! majumbani hapatakalika!! maofisini hapatakalika!! na hata mabarabarani!! hali hiyo hiyo!! Tutakuja kuuana wenyewe kwa ajili wapumbavu na wapuuzi na walafi wachache kama hawa wanaobebwa na CC MABWEPANDE!! watu watachoka!!Hawa wanalindwa na DOLA yote TISS na Polisi yote!! Tufanyeje!!
 
Aiseee! Sasa naona jinsi gani ilivyo ngumu kutenganisha CCM na UFISADI... maana hawa jamaa akina Madabida ndio wenyewe kwenye CCM

Ukiondoa ufisadi thithiem kwisha. Ni sawa na kumkoboa kobe gamba lake lote. Yaani mijitu haina hata aibu kutesa na kuua wagonjwa wa Ukimwi! Laana itawala
 
Maisha Tanzania ni kama tamthilia ....Mama masaburi amshinda Mama Madabida...wote mafisadi hakuna pa kushangilia..
PM,
Nguvu ya CCM imebaki kwa watu wa aina hii. Sio ajabu kwa hiyo kumsikia Lowasa anajiandaa kuwa Rais wa JMT. Hawa ndio watu wa aina ya Lowasa. Hebu fikiria TANZANIA ya Novemba 2015 Lowasa ameshaapa kuwa Rais na hawa ndio wanateuliwa kuwa mawaziri, wakuu wa Taasisi za UMMA, Wakuu wa mikoa,...

Tunafanyaje kuyaepuka haya?
 
...........mbona unachanganya mambo mzee ? ZZK kaingiaje ? au anaechaguliwa anaenda kupigana nao ?

Si ni back up plan ya hawa mafisadi ili waendelee kutawala hii nchi na waendelee kutuua...

We fikiria wanaleta ARV feki, wanaleta na CONDOM feki, hao watu wanastahili kuishi kweli??? Kiongozi ajaye lazima awe shupavu awanyonge hawa wote
 
PM,
Nguvu ya CCM imebaki kwa watu wa aina hii. Sio ajabu kwa hiyo kumsikia Lowasa anajiandaa kuwa Rais wa JMT. Hawa ndio watu wa aina ya Lowasa. Hebu fikiria TANZANIA ya Novemba 2015 Lowasa ameshaapa kuwa Rais na hawa ndio wanateuliwa kuwa mawaziri, wakuu wa Taasisi za UMMA, Wakuu wa mikoa,...

Tunafanyaje kuyaepuka haya?
Sijui kama unaloliongea unalifahamu au just a feeling, ila kama ulikuwa hujui ni kwamba Makongoro Mahanga na Didas Masabauri ni kambi ya Lowasa na wote wamepigwa mweleka kwenye uchaguzi wa Nec kwahiyo nguvu zao zote waliamishia kwa Janeth Masaburi na ndio maana akaweza kushinda otherwise mtandao wa kina Madabida Dar unatisha.

Hata kesi ya Makongoro Mahanga ya Ubunge wa Segerea ameshinda kwa mkono wa Lowasa, hii ni fact na ni Inside story.
 
Tanzania Pharmaceutical Industry (TPI)


TPI was established in 1977 as a state-owned pharmaceutical company, assisted by the Finnish government. Lack of operating capital and other financial constraints led to closure in the early 1990s, and it was then privatised in 1995 with 40% government ownership. Since then TPI has undergone re-engineering to become Good Manufacturing Practices (GMP) compliant. In 2009 it was the second largest pharmaceutical industry in Tanzania, accounting for about 20% of the value of pharmaceutical production.


TPI, with Action Aid Medeor (a charitable non-governmental medical aid organisation based in Germany that depends on donor support to provide services globally), implements two projects:

 manufacturing affordable artemisinin-based anti-malarial drugs for adults and paediatrics, (started in 2003); and
 producing good quality and affordable ARV fixed-dose combination, TT-virus (started in
2005).

ARV production is a €6 million project, financed through a €5 million grant from the EU Aid for Poverty-Related Diseases in Developing Countries and TPI’s €1 million contribution. The TTvirus is a generic antiretroviral drugs (ARV) fixed-dose combinations, which the World Health Organisation (WHO) has chosen as the first regimen treatment for HIV and AIDS patients in poor countries. TPI imports APIs from China, formulates the off-patent triple combination product, and packages the ARVs, so there are no significant TRIPs implications. The drug developer, Dr Kraisintu, provided technical assistance and know-how to TPI, which contributed to reducing ARV prices to affordable levels for developing countries.

Besides building local manufacturing capacity for anti-malarials and ARVs, the TPI and Medeor partnership facilitates building technical expertise, creates incentives for technical cooperation, and warms up the local market. Local manufacturing capacity building takes place through a contractual arrangement which specifies that ARVs produced will be made available to the public health sector at low cost for 40 months, after which the facility will be handed over to TPI.

Capital flow (donor money) into TPI has focused on achieving public value. Its investment and marketing strategies are focused on realising the national health policy and, particularly, drug policy objectives — ensuring that all people have access to adequate medicines, at an affordable price and acceptable quality. TPI’s focus on producing anti-malarials, ARVs and antiTB drugs at affordable prices and the 100% local marketing of drugs, supports this claim.
Safari_ni_Safari hizo hisa za mwekezaji 60% ziliwahi kulipwa serikalini? Naomba hili swali aulizwe Mh.Mary Nagu aliyekuwa PSRC wakati wa ubinafsishaji
 
Last edited by a moderator:
Huu sasa ni zaidi ya ufisadi! Kuua watanzania ili upate utajiri maradufu ni Ufisadi papa/Nyangumi.
Hawa jamaa wanabidi wanyongwe tuu.
 
Hawa ni wanachama wa CCM, wanaua watu halafu serikali imekaa kimya tu badala ya kuwapandisha kizimbani.

hili ni suala la mtu binafsi tunapaswa kumlaum/ kumhukum madabida sio ccm
 
Ukiondoa ufisadi thithiem kwisha. Ni sawa na kumkoboa kobe gamba lake lote. Yaani mijitu haina hata aibu kutesa na kuua wagonjwa wa Ukimwi! Laana itawala

hakuna uhusiano wa madabida na ccm. Ingekuwa hivyo basi na slaa kwa kuwa ana masuala mazito ya ishu ya mke wake kuwa ni wa mushumbusi basi tuseme ni chama.tutofautishe taasisi na mtu binafsi
 
hili ni suala la mtu binafsi tunapaswa kumlaum/ kumhukum madabida sio ccm
Gamba wewe kafie Uyole, unataka kujifanya hujui CCM wanavyogawana hizi tenda? kila mtu ukimuuliza nchi hii kiwanda cha madawa atakutajia ni Shellys Phamaceutical, sasa hawa kina Madabida walishindaje hii tenda?

Tena kama tungekuwa tunajali uhai wa watu hii kazi wangepewa Smith Klein ya Kenya, ndio wenye kiwango na madawa yao yanaaminika.
 
Back
Top Bottom