Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Wameamua Kuua from every angle!!! Mara wanakusingizia Jambazi, mara umeandamana, mara unaipinga serikali na sasa hii ya dawa feki inakua imezidi kwa kweli!!!! Tutaponea wapi??? Na sisi haipiti wiki lazima umeze dawa???
 
Du! Zarina madabida, Ramadhani madabida, dili la dawa za dola milion 5, maana yake 5,000,000*1570 = 7,850,000,000/= (Shilingi bilioni saba, milioni mia nane hamsini), hiyo sio ya mwaka huu, hebu mwaka huu tujue ni shilingi ngapi?
Tanzania kila siku na aibu yake. Watu kama hawa wanaweza kufikiria umasikini wenu?
 
Manina walahi, yani nchi hii watu hawan utu tena.. ni kupiga tu hata kama maelfu watakufa on expense ya kupiga wao wanapiga tu... 2015 ifike haraka ili magereza yaanze kufanya kazi, hawa ni wa kunyongwa hawa... naamini rais Slaa anasoma hii thread
 
Jamani wana JF hata kama mnamchukia mtu lakini isivuke mipaka ya kutufanya kushindwa kufikiri na kupambanua mambo,hii issue ya ARV kabla kuwa judge hawa wazee wa watu mngefatilia upande wa pili wa shilingi,kuona nini kimetokea kwakweli..issue iko obvious,TPI hawahusiki,nimefatilia kwa karibu sana yaani ni zengwe tu limepikwa kisiasa,pengine hata ndani ya CCM since kuna makundi,na nahisi kisa huyu mzee anagombea uenyekiti wa CCM mkoa,hivi mnamfananisha Guninita na Mdabida? hemu tafuteni CV Zao muangalie,sasa katika viongozi ambao wanahitaji kunusuru CCM Madabida is one of them..Naamini hii ni vita ya MAFISADI against them,kuelekea 2015 mtandao wa kifisadi unajipanga kuhakikisha wote wenye nia ya kusimamia haki ya watanzania hawashiki nafasi ndani ya chama ili wajikite wao wenyewe..ishu ya kudaiwa kwenye biashara ni jambo la kawaida wangapi tuna madeni mitaani kwetu kwenye maduka ya mangi?au tunaongea kwa ushambiki tu?Si vizuri,tukumbuke Kuna hukumu mbele ya mwenyezi mungu,tusiongee au kulaumu jambo tusilo na ufahamu lao..Huu msala wa ARVs hili dude la MSD tu,fatilieni sababu mbali mbali walizotoa uongozi wa kiwanda,La hasha haingii akilini kama wanahusika..MAFISADI NDIO WANATAKA KUWAHARIBIA HAWA WAZEE WA WATU BIASHARA YAO..JE MNAJUA KIWANDA KIKIFUNGWA DAWA ZINAAGIZWA NJE?MNAJUA WAKIAGIZA DAWA NJE WANAKULA 10% WAAGIZAJI? JE MNAJUA DAWA IKIAGIZWA NJE GHARAMA YAKE NI KUBWA KULIKO ZINAZOTENGEZWA NA TPI? HUJUMA SANA YA KISIASA NA KIBIASHARA SABABU TU HAWA NI WASWAHILI..TUWENI MACHO JAMANI NA TUNACHOANDIKA BILA UCHUNGUZI.
 
Naomba niseme, hiyo circled in yellow it is the whole clue, TPI hawana hii packaging, i have been to industrial espionage for sometime kwa ajili ya marketing, kuna watu wamefoji lakini wakakosea kidogo,smal mistake can make a massive mistake. Invisible naomba uikuze isomeke halafu nitasema kwa niniView attachment 67861

MKUU HAKUNA NAMNA UNAVYOWEZA KUWATENGANISHA TPI NA HIII KASHFA ....SABABU ZANGU NI NZITO

1] MSD NDIO SOLE WANUNUZI WA HIZI ARVs
2]HIZI ARVs ZINATOLEWA BURE....

WASITAKE KUTUFANYA WAJINGA.......IWEJE WATU WENGINE WAFOJI ARV ZA TPI AMBAZO ZINATOLEWA BURE .....WAKATI HAWATAKUWA NA MAHALA PAKUUZIA???

SCENERIO:- KWENYE HILI JIBU NI KUWA TPI INAWEZEKANA KABISA WAKAWA WALIPEWA ODA KUBWA .....NA WAKATAKA KUIMALIZA HARAKA NA KUAMUA KU SUBCONTRACT UTENGENEZAJI WA ARVs KWA THIRD PARTY ..INDIA OR ELSEWHERE.....AMBAYE AMEKOSEA KWA MAKUSUDI AU KWA MAKUBALIANO MAALUM YA KIFISADI ..

UWEZEKANO KUWA TPI PROCESS YAO YA PRODUCTION NI EXPENSIVE KWAHIYO WAKAAMUA KUTENGENEZEA NJE HAYA MADAWA ILI WAPATE FAIDA ZAIDI NA KAZI IIISHE MAPEMA ....

ALL IN ALL ....NANI ATAFOJI NA KUINGIZA SOKONI DAWA AMBAZO ZINATOLEWA BURE NA HAZIUZWI...????
 
Ukisoma Dailynews la jana na hii email,unaona kuwa hawa jamaa walitumia nyaraka fake na kusupply hizi dawa fake MSD.so inaonekana watu fulani walienda china wakapack unga wa muogo,wakatoa kitu kidogo kwa MSD management,then mzigo ukawa delivered watu wakajipatia mahela maisha yanaendeleaa.kwa kuzipack na kuzisuply MSD,TDFA wanakuwa wamerukwa na awawezi gundua kitu(hapa pia kuna maofisa wa TRA nao wanausika,why wanakubari ingiza dawa made in Tanzania wakati zimeingia kwa meli au ndege hapa nchini?batch hii fake itakuwa zaidi ya containes 10 zimepita wapi?ni kweli TRA aina watu wenye macho?)Du hii organized crime sio mchezo
Hii inaonyesha kuwa kuna ufisadi mkubwa sana tena sana MSD na maisha ya watanzania wengi yamepotezwa na hawa wauaji wa MSD,kuna watu wamebabuka tokana na madawa ya malaria na wengine kufa,kuna watu wamepata ata kupooza tokana na madawa hapa Tanzania.MSD wakishapata go ahead ya kusambaza dawa fulani wanafanya ufisadi na mapatner wao kwenda china wanapack unga wa muhogo then wanaingiza kwenye supply system ya dawa zinazoenda kwenye mahospital nchi nzima je wameanza lini?je ni aina ngapi za madawa wamezisupply?,wamevuna mabilion ,true hawa watu ni mass killers,hawana tofauti na watu kama sadam husein na hitler,uchunguzi ukifanywa unaweza baini watanzania mamilion wameuwawa kwa tamaa ya pesa na watu hawa MSD.watoto wangapi wamedungwa maji badala ya kinga?.....Ee Mungu tupiganie maana tumezungukwa na wauaji.kwa huruma yako endelea kuwafichua amen
sole SUPPLIER WA HIYO MODEL YA ARV NI TPI........SASA INAINGILIAJE AKILINI KUWA KUNA WATU WAMEPEWA ODA.....LETENI HIZO PURCHASE ORDERS HAPA ........ZA HIYO KAMPUNI MNAYOSEMA IMEFOJI,,.....YOU MUST HAVE THAT FINDINGS IF YOU WANT TO RESCUE TPI FROM THIS DEEP SHIT..
 
PITIENI HIZI LINK JAMANIPTI yakana kutengeneza ARV’s bandiaARV firm in business despite govt stop orderTUSIJIITE MA INTELLECT AU GREAT THINKERS KAMA HABARI TUNACHUKUA UPANDE MMOJA HALAFU TUNAAFANYA CONCLUSION..UNACHUKUA HOJA PANDE ZOTE MBILI,UNACHAMBUA HARD EVIDENCE HALAFU SASA UNATUMIA AKILI YAKO KUTOA OPININA ON WHATS ON RECORD..TPI HAPA IMEONEWA 100%

PITIENI HIZI LINK JAMANI
PTI yakana kutengeneza ARV’s bandia

ARV firm in business despite govt stop order

TUSIJIITE MA INTELLECT AU GREAT THINKERS KAMA HABARI TUNACHUKUA UPANDE MMOJA HALAFU TUNAAFANYA CONCLUSION..UNACHUKUA HOJA PANDE ZOTE MBILI,UNACHAMBUA HARD EVIDENCE HALAFU SASA UNATUMIA AKILI YAKO KUTOA OPININA ON WHATS ON RECORD..TPI HAPA IMEONEWA 100%

Mkuu nimesoma na nimegundua vitu viwili kuna dawa feki za aina mbili kama nilivyo-qoute kwenye link yako TT-VIR30 za hiki kiwanda na TT-VR30 ambayo Mmiliki wa kiwanda ndio anadai ni feki ambayo sio yao..

Kiwanda hicho kinachomilikiwa kwa ubia baina ya Serikali asilimia 40 na wamiliki wazawa asilimia 60, kimesema kuwa kinazalisha dawa ya TT-VIR 30 na si TT-VR30 ambayo ni bandia huku utaalamu wao wakiupata kutoka nchini Thailand.

LAKINI Ukiangalia tamko lililotoka kuhusu dawa hizi feki utaona kwamba hata hii TT-VIR 30 kuna toleo lilitoka ambalo lilikuwa chini ya viwango (hence Feki) angalia hapo chini...

Aidha imepiga marufuku usambazaji na matumizi ya dawa aina ya TT –VIR 30 toleo na 0C .01.85 inayotengenezwa na kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Ltd (TPI) kufuatia dawa hiyo kutengenezwa chini ya kiwango na kutofaa kwa matumizi ya binadamu.

Amesema kuwa ukaguzi na uchunguzi wa kimaabara dhidi ya dawa hiyo isiyokidhi viwango ulibainia kuwa nyaraka zilizopo kuhusiana na dawa hizo unaonyesha kuwa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Ltd (TPI) waliiuzia Bohari ya Dawa (MSD) dawa hiyo bandia toleo namba 0C. 01. 85 iliyotengenezwa nchini mwezi Machi 2011 na kuonyesha mwisho wa matumizi yake mwezi Februari 2013.
 
MDAU Philmon any company anywhere can be victim to #counterfeit of its products, doesn't mean they made them nor justify unproven attribution,counterfeiting ni tatizo kubwa sana dunia,kuwa sole supplier wa arv inakuwa rahisi kama ivo mtu kutengeza feki kwa jina la kampuni knowing kuwa ngumu kugundulika,fatilia Jina la dawa,vidonge size shape and color,nembo,packaging,batch number zote hazifanani na original product,uzalishaji wa dawa haufanywi kienyeji kama unavosema kuwa wamesubcontract india etc kumbuka MSD wana vipimo bora kabisa vya ugunduzi,na kabla kupokea mzigo lazima watest dawa kabla ku authorise distribution..Baada ya miezi 16 ndo unagundua kuna dawa feki?? hemu tusiwe wavivu wa kufikiri..
 
MKUU SUN WU The batch in question is toleo namba 0C. 01. 85 na kwa taarifa za kiwanda hamna records za hiyo batch kutengezwa kiwandani..
 
Mkuu hizi ni He Say... She Says.., na kwasababu people's lives are at stake inabidi hata kama ni tuhuma tu wote wenye tuhuma wasimamishwe kwanza na hizi production until proven otherwise.., wewe umesema hayo hapo juu lakini tamko kutoka serikalini limesema yafuatayo..., ni nani wa kuamini ?, na wakati bado tunapeleleza Je ni vema kiwanda chenye tuhuma ya kuchakachua kiendelee na kazi... (tuhuma ya kutengeneza dawa chini ya viwango..)

Narudia haya ni matamko ambayo nimeona kuhusu tuhuma za hii kampuni...., Je tukuamini wewe, au tuchukue maneno ya mwenye kampuni kweli ambayo obvious yatakuwa biased

Amesema kuwa ukaguzi na uchunguzi wa kimaabara dhidi ya dawa hiyo isiyokidhi viwango ulibainia kuwa nyaraka zilizopo kuhusiana na dawa hizo unaonyesha kuwa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Ltd (TPI) waliiuzia Bohari ya Dawa (MSD) dawa hiyo bandia toleo namba 0C. 01. 85 iliyotengenezwa nchini mwezi Machi 2011 na kuonyesha mwisho wa matumizi yake mwezi Februari 2013.
 
MKUU SUN WU The batch in question is toleo namba 0C. 01. 85 na kwa taarifa za kiwanda hamna records za hiyo batch kutengezwa kiwandani..
Ndio hapo mkuu obvious hata kama itakuwa kweli kiwanda hakiwezi kikakubali kwamba ni za kwetu, ndio maana hapa inabidi kuangalia hii issue kwa kina na investigation ifanyike na kuonyesha hizo nyaraka ambazo zinasema hizi dawa na za hiki kiwanda zimetoka wapi.., sio jambo la kuchukulia lightly wala sio jambo la ku-sweep under the carpet sababu tu wamiliki wa kiwanda wamesema otherwise..,

By the way am sure hiki kiwanda kinapata subsidy na misaada ili kutengeneza hizi dawa hivyo pia inabidi tuangalie kama ni kweli wanatengeneza dawa zisizofaa au zisizotosha inabidi kuona hizo pesa zinakwenda wapi kama kweli zipo
 
MKUU KAULI YANGU SI SHERIA,NAPENDEKEZA TU TUPIME MAMBO,KWANI SERIKALI IMESEMA MANGAPI NA TUNAYAPINGA?TUNAYAONA YAKO FEKI? IWEJE LEO WANACHOSEMA KIONEKANE SAHIHI BILA KUSIKILIZA PANDE ZOTE MBILI?
HEMU CHEKI PROCEDURES ZA KUPOKELEWA DAWA MSD..

The Procedure for the delivery of medicine to MSDis as follows:-
a) A product is delivered and is received at MSD receiving bay with
the necessary documents.

b) The medicines are subjected to quality control which includes
examination of the packaging and the taking of the samples.

c) It is only after the medicines have been released by the quality
control department that the documents are released to the
other departments for processing of the payment.

Naamini this procedure makes it impossible to deliver fake medicines to MSD,mpaka wanazisambaza meaning waliruhusu mzigo una viwango vinakubalika,toka march 2011 mpaka August 12 miezi 16 imekuwaje muda wote huu kama si hujuma??

Nasisitiza hemu tulipime hili kinaga ubaga!
 
Locally manufactured HIV/AIDS drugs launched, Arusha-based Tanzania Pharmaceutical Industry (TPI) has scored first in East Africa by manufacturing some of the first line drugs used in HIV/AIDS treatment.

The drugs, Stavudine, Lamivudine and Nevirapine or a cocktail of the three (TT-VIR), were launched last weekend by Dr. Krisana Kraisintu, a consultant at the plant and TPI Managing Director, Ramadhani Madabida.

Manufacturing of the drugs in Arusha is a relief to the about 1.6 million Tanzanians living with HIV/AIDS. The drugs when distributed for wider use, after approval by the government, will cost between Tsh.15,000 to Tsh.20,000 for a month's dose.

An estimated 50 to 60 per cent of hospital beds in Tanzania are occupied by patients with AIDS- related illness. With training in pharmaceutical chemistry, Dr. Kraisintu was formerly the director of Research and Development Institute of Thailand's Government Pharmaceutical Organization.

Unable to garner the support of his governmental colleagues, he directed his own organization's research funds to develop and produce generic versions of AIDS medications.

Dr. Kraisintu's homegrown pharmaceuticals proved themselves both medically viable and cost effective were later supplied to patients in Laos, Cambodia and Vietnam. Over 100,000 patients are now able to receive treatment in South East Asia.

With partnership with the German Medical Aid Organization, Dr. Kraisintu has now successfully reproduced his formula on to fight HIV-AIDS on a larger scale, especially in sub-Saharan Africa.

The President of Mount Holyoke College, South Hadley, Massachusetts, Dr. Joanne V. Creighton has hailed him as the "AIDS Warrior" praising his efforts to provide AIDS treatment to those who would otherwise be denied.

"You have revitalized public health efforts around the world to fight the spread of HIV/AIDS", she noted in a statement of appreciation dated 22nd May, 2005.

My Take:
Je Hivi ni aina ya vitega uchumi tunavyohitaji kuwapa makada wa chama ....ili wakichangie chama mapesa kwenye uchaguzi .....kwa kuwauzia watanzania dawa feki za Ukimwi? Ni wangapi wameshakufa?

.....wakurugenzi wa MSD wamechukuliwa hatua...though hao ni scape goats tu. Je, Madabida ..amechukuliwa hatua gani?..au kwa kuwa pesa zilikuwa zinanufaisha CCM.....?

​

Kuna mambo ni ngumu sana kuyaelewa. ARV feki? Madawa mangapi sasa ni feki? Saigon sasa imeanza kuzalisha watu iliyokuwa inawatengeneza. yangu macho.
 
MKUU KAULI YANGU SI SHERIA,NAPENDEKEZA TU TUPIME MAMBO,KWANI SERIKALI IMESEMA MANGAPI NA TUNAYAPINGA?TUNAYAONA YAKO FEKI? IWEJE LEO WANACHOSEMA KIONEKANE SAHIHI BILA KUSIKILIZA PANDE ZOTE MBILI?
HEMU CHEKI PROCEDURES ZA KUPOKELEWA DAWA MSD..

The Procedure for the delivery of medicine to MSDis as follows:-
a) A product is delivered and is received at MSD receiving bay with
the necessary documents.

b) The medicines are subjected to quality control which includes
examination of the packaging and the taking of the samples.

c) It is only after the medicines have been released by the quality
control department that the documents are released to the
other departments for processing of the payment.

Naamini this procedure makes it impossible to deliver fake medicines to MSD,mpaka wanazisambaza meaning waliruhusu mzigo una viwango vinakubalika,toka march 2011 mpaka August 12 miezi 16 imekuwaje muda wote huu kama si hujuma??

Nasisitiza hemu tulipime hili kinaga ubaga!

Mkuu sikatai kupima ila kwa shutuma hizi ni kubwa wala sisemi kwamba MSD wapo sawa nao wamefanya kosa kubwa ila kufanya kwao kosa haimaanishi kiwanda hakikufanya kosa (possibility ya kiwanda kuchezewa faulo upo, ila na possibility ya kiwanda kutoa mzigo mbovu upo pia..)

by the way....

“Mimi nashangaa sana sisi dawa zetu zilitoka Machi na muda wote huo hatujatengeneza, sasa iweje zionekane feki Agosti?

Hivi kama hiki kiwanda kilipewa kazi ya kutengeneza hizi dawa kuwanusuru ndugu zetu, kwanini kama demand bado ipo mzigo wa mwisho watengeneze march?, Je wameshindwa kazi au ?, na nina uhakika kiwanda kitakuwa kinapokea misaada ili kuweza kutoa mzigo sasa kama hawatoi mzigo huoni kwamba huu ni ufisadi ?
 
Ndio hapo mkuu obvious hata kama itakuwa kweli kiwanda hakiwezi kikakubali kwamba ni za kwetu, ndio maana hapa inabidi kuangalia hii issue kwa kina na investigation ifanyike na kuonyesha hizo nyaraka ambazo zinasema hizi dawa na za hiki kiwanda zimetoka wapi.., sio jambo la kuchukulia lightly wala sio jambo la ku-sweep under the carpet sababu tu wamiliki wa kiwanda wamesema otherwise..,

By the way am sure hiki kiwanda kinapata subsidy na misaada ili kutengeneza hizi dawa hivyo pia inabidi tuangalie kama ni kweli wanatengeneza dawa zisizofaa au zisizotosha inabidi kuona hizo pesa zinakwenda wapi kama kweli zipo

Na hapa tunaongelea maisha ya watu...kwanini tunataka kutafuta shortcut bila kufanya uchunguzi. Naunga mkono hoja yako kwamba lazima kila kitu kisimame wakati uchunguzi huru unafanyika. Binafsi nahisi kuna chembe chembe za ukweli....
 
Philemon nakubaliana nawe 100%. Lakini bado sijaamini kuwa TZ ina aina gani ya raia!! hivi hili ni jambo dogo? Mtu anapelekea mauaji kwa uroho wa fedha bado tumenyamaza!! Ipo siku mitaani hapatakalika!! majumbani hapatakalika!! maofisini hapatakalika!! na hata mabarabarani!! hali hiyo hiyo!! Tutakuja kuuana wenyewe kwa ajili wapumbavu na wapuuzi na walafi wachache kama hawa wanaobebwa na CC MABWEPANDE!! watu watachoka!!Hawa wanalindwa na DOLA yote TISS na Polisi yote!! Tufanyeje!!

Dawa ni kila mtu kusimama pale alipo kuwapinga kwa nguvu akili na roho yako yote....Haijalishi uko wapi if you are determined wanaondoka tu hao kwani wao miungu? Aliondoka Hitler sembuse wao? Lakini aliondoka baada ya few people kuamua kama kufa acha tufe na kama kuishi basi tuishi kwa heshima lakini lazima tumwondoe huyu dictator wa dunia...
 
Unajivunia nini kwake?
Schoolmate killer?

Umejifunza nini?

Sijui what happenned with the ARV. Ndio maana nimeuliza hapo. Niliona tu katika gazeti complaints kuhusu ARV ,kwamba ni fake,pia nikaona mtu mmoja anaongea asubuhi na ITV mtu wa madawa anafanya clarification,lakini sijapata muda kuifuatilia hii stori.
Lakini ni schoolmate na certainly I do not support that anyone should rip people off. Lakini watu wakifanya mambo kama haya hizo ndizo tell-tale signs kwamba the government is not of the people,for the people,by the people.
Ningefurahi kama hili jambo lingeweza kuwa cleared ili aipate ile nomination.
 
Back
Top Bottom