Ramadhani Madabida na wenzake waachiliwa huru, walituhumiwa kusambaza ARV feki

Leo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.

Soma=> Madabida na wenzake watano wafutiwa mashtaka ya kusambaza ARV feki, wakamatwa tena

Pia, soma=> Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

============

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.

Madabida ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI) na wenzake walikuwa wanakabiliwa na mashtaka matano likiwemo ya kusambaza makopo 7,776 ya dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) aina ya Antiretroviral, wakijaribu kuonyesha kuwa dawa hizo zilikuwa halali na zimetengenezwa nchini.

Uamuzi huo wa kuwaachia huru umetolewa leo Alhamisi Februari 24, 2022 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipoitwa mahakamani hapo kwa ajili ya uamuzi kama washtakiwa wanakesi ya kujibu au laa.

Soma zaidi:Madabida wenzake waenda mahabusu

Mbali na Madabida, washtakiwa wengine ni Mkurugenzi wa Operesheni wa TPI, Seif Shamte, Meneja Masoko, Simon Msofe, Mhasibu Msaidizi, Fatma Shango pamoja na wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Sadick Materu na Evans Mwemezi.

Hakimu Shaidi amesema upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 13 na vielelezo zaidi ya 10, lakini umeshindwa kudhibitisha mashtaka dhidi ya washtaka wote, hivyo amewaachia huru washtakiwa wote.

Mimi siku zote nimekuwa nikidhani ARVs haziuzwi kwa Watanzania wenye VVU. Kama uelewa wangu huo ni sahihi, hawa watu wangekuwa na incentive gani kusambaza fake ARVs?
 
Muuaji wa kusambaza dawa feki anaachwa huru huku mwenyekiti mbowe asiye na hatia anasoteshwa gerezani, ssh ana msukumo wa Udini katika maamuzi yake? Tutafakari
Sasa mlimsilimisha mkamwita abubakar, k am a mama mdini mbona hamwachii ustaadh abubakar mbowe?
 
Mimi siku zote nimekuwa nikidhani ARVs haziuzwi kwa Watanzania wenye VVU. Kama uelewa wangu huo ni sahihi, hawa watu wangekuwa na incentive gani kusambaza fake ARVs?
Ni sahihi, serikali inazinunua na kuzisambaza bila malipo. Ni Kodi zetu zinalipa.
 
Wahanga wa Mwendazake wote wanaachiwa. Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo. Mwendazake pamoja na kujidai mpanga ufisadi na mafisadi miaka yote 6 hakufanikiwa kufunga mtu yeyote kwa ufisadi ingawa alifanikiwa sana kuwa funga wapinzani..... Hapo ndipo utaona ni jinsi gani alikuwa anatuchezea akili.
Hii ni kesi kioindi cha kikwete bana yaani .kila shida ya nchi hii mnamsingizia mwendazake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahanga wa Mwendazake wote wanaachiwa. Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo. Mwendazake pamoja na kujidai mpanga ufisadi na mafisadi miaka yote 6 hakufanikiwa kufunga mtu yeyote kwa ufisadi ingawa alifanikiwa sana kuwa funga wapinzani..... Hapo ndipo utaona ni jinsi gani alikuwa anatuchezea akili.
Well said
 
Leo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.

Soma=> Madabida na wenzake watano wafutiwa mashtaka ya kusambaza ARV feki, wakamatwa tena

Pia, soma=> Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

============

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.

Madabida ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI) na wenzake walikuwa wanakabiliwa na mashtaka matano likiwemo ya kusambaza makopo 7,776 ya dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) aina ya Antiretroviral, wakijaribu kuonyesha kuwa dawa hizo zilikuwa halali na zimetengenezwa nchini.

Uamuzi huo wa kuwaachia huru umetolewa leo Alhamisi Februari 24, 2022 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipoitwa mahakamani hapo kwa ajili ya uamuzi kama washtakiwa wanakesi ya kujibu au laa.

Soma zaidi:Madabida wenzake waenda mahabusu

Mbali na Madabida, washtakiwa wengine ni Mkurugenzi wa Operesheni wa TPI, Seif Shamte, Meneja Masoko, Simon Msofe, Mhasibu Msaidizi, Fatma Shango pamoja na wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Sadick Materu na Evans Mwemezi.

Hakimu Shaidi amesema upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 13 na vielelezo zaidi ya 10, lakini umeshindwa kudhibitisha mashtaka dhidi ya washtaka wote, hivyo amewaachia huru washtakiwa wote.
Huyu Hakukamatwa tena kama yule Kiongozi wa Chadema au kwa kuwa yupo ccm
 
Ni Mzilankende Mnyago Akiwa Kayanga Karagwe
Ni Ngosha Akiwa Chettle Na Mwanza
Dah wee Kennedy unajua nilikuwaga nakupitapita humu. Kwanini ulibadilishaga ile avatar picha yako ya Obama tuliyokuzoea?
 
Leo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.

Soma=> Madabida na wenzake watano wafutiwa mashtaka ya kusambaza ARV feki, wakamatwa tena

Pia, soma=> Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

============

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao likiwemo la kusambaza dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi.

Madabida ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI) na wenzake walikuwa wanakabiliwa na mashtaka matano likiwemo ya kusambaza makopo 7,776 ya dawa bandia za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) aina ya Antiretroviral, wakijaribu kuonyesha kuwa dawa hizo zilikuwa halali na zimetengenezwa nchini.

Uamuzi huo wa kuwaachia huru umetolewa leo Alhamisi Februari 24, 2022 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipoitwa mahakamani hapo kwa ajili ya uamuzi kama washtakiwa wanakesi ya kujibu au laa.

Soma zaidi:Madabida wenzake waenda mahabusu

Mbali na Madabida, washtakiwa wengine ni Mkurugenzi wa Operesheni wa TPI, Seif Shamte, Meneja Masoko, Simon Msofe, Mhasibu Msaidizi, Fatma Shango pamoja na wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Sadick Materu na Evans Mwemezi.

Hakimu Shaidi amesema upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 13 na vielelezo zaidi ya 10, lakini umeshindwa kudhibitisha mashtaka dhidi ya washtaka wote, hivyo amewaachia huru washtakiwa wote.
Lakini jaji wa michongo aliwaona wana kesi ya kujibu Mh Mbowe na wenzake japo mashahidi waliongea utumbo. Huyu Jaji atafika mbinguni akiwa ana tambaa hadi magoti yachubuke.
 
Wale wote waliokuwa na kesi za serikali ili mradi wana ukaribu au ushemeji au uschool mate na msoga wanaachiliwa kipindi hichi bila ya masharti kuna mmoja aliangamiza shirika la ndege akahukumiwa alipe hela ya kifurushi cha tigo akaachiwa huyu nae kuna watu wanaume waliota matiti na wanawake waliota mustachi sababu ya kunywa hizi dawa leo wanasema hakuna ushahidi? Anyway aliyenunua kile kiwanda cha madawa alishatangulia mbele ya haki
 
Na tutawalipa mabilioni mengi tu ya kodi yetu
Usikute tukiwalipa wanakwenda kugawana na kikundi fulani cha wahuni

Huyu Madabida alitajwa na Makamba Senior kwenya mkasa fulani sikumbuki vizuri kama siyo kwenye kura za maruhani kwa JK...!!! isijekuwa alitegwa akanasa
 
Kwa jinsi mambo yanavyojitokeza SHAMTE aliyehusishwa na mkonge kufilisika kule Tanga na akafia mahabusu, angekuwa yu hai naye angeachiwa huru!!
Wale watuhumiwa wa mkonge waliokuwa wanashikiliwa katika gereza la Maweni Tanga wote wameachiwa Mwaka jana mwezi wa 6
 
Back
Top Bottom