Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,831
Mwendazake sadist alimfunga huyu baada ya kumfanyia mpango Manji kuwa diwani bila kufanya kampeni
Kwa Hisani Ya Watu Wa US NitairudishaNdio mkuu
Ushuzi mtupuWahanga wa Mwendazake wote wanaachiwa. Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo. Mwendazake pamoja na kujidai mpanga ufisadi na mafisadi miaka yote 6 hakufanikiwa kufunga mtu yeyote kwa ufisadi ingawa alifanikiwa sana kuwa funga wapinzani..... Hapo ndipo utaona ni jinsi gani alikuwa anatuchezea akili.
Madabida kama kumbukumbu zangu zipo sawa alikuwa anazalisha ARV fake kwenye kiwanda chakeMimi siku zote nimekuwa nikidhani ARVs haziuzwi kwa Watanzania wenye VVU. Kama uelewa wangu huo ni sahihi, hawa watu wangekuwa na incentive gani kusambaza fake ARVs?
Jk ndio alimpa kesi mbili.Mwendazake sadist alimfunga huyu baada ya kumfanyia mpango Manji kuwa diwani bila kufanya kampeni
Jk alimpa kesi gani? Hii kesi ya ARV alipewa ktk awamu 5Jk ndio alimpa kesi mbili.
Usikute tukiwalipa wanakwenda kugawana na kikundi fulani cha wahuni
Huyu Madabida alitajwa na Makamba Senior kwenya mkasa fulani sikumbuki vizuri kama siyo kwenye kura za maruhani kwa JK...!!! isijekuwa alitegwa akanasa
Sijaelewa unataka kueleza nini!Furaha,hasira,mshangao,migagasiko,kuzubaa au ni kipi hasa?Hongera Madabida…hongera sana Zarina
Ilipaswa isomeke imemuachia huru Mfanyabiashara maarufu…
Ni sawa na ku report aliekuwa Mmiliki wa Ukumbi wa Muziki wa Katikati ya jiji wa Bilicanus afikiswa Mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
Nikisoma michango yako mingi huwa napata taswira aidha wewe ni Ramadhani Madabida au ni ndugu yake au mtu wake wa karibu sana mnayefahamiana sana. Kuna vitu vingi huwa unavitaja ambavyo ukivi connect unaona hiyo relationshipHongera Madabida…hongera sana Zarina
Ilipaswa isomeke imemuachia huru Mfanyabiashara maarufu…
Ni sawa na ku report aliekuwa Mmiliki wa Ukumbi wa Muziki wa Katikati ya jiji wa Bilicanus afikiswa Mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
Hapana zote mbili zilianza 2014.Jk alimpa kesi gani? Hii kesi ya ARV alipewa ktk awamu 5
Mtetezi wa legasi wa mwendazake kasemaHapana zote mbili zilianza 2014.
Kama hufahamu jambo usipotoshe.
Nikisoma michango yako mingi huwa napata taswira aidha wewe ni Ramadhani Madabida au ni ndugu yake au mtu wake wa karibu sana mnayefahamiana sana. Kuna vitu vingi huwa unavitaja ambavyo ukivi connect unaona hiyo relationship
Sijaelewa unataka kueleza nini!Furaha,hasira,mshangao,migagasiko,kuzubaa au ni kipi hasa?
Duh tunachezewa kama kete za kwenye baoJK na Madabida hawajakutana kwny Mkutano Mkuu wa CCM
Wametoka mbali sana…ile Madabida kujitoa akili na kujiunga ulipo tupo ilikuwa mission ya kivita tu
Madabida aligombea jimbo moja na yule Mh.Selemani Bwege wa CUF kule Kilwa…kama sio kupigwa chini kule ilikuwa awe Waziri…ni msomi mzuri tu wa shahada kadhaa
Tusubiri kitabu cha Maisha ya Mkwere kama kitakuwa kimejaa ukweli mtupu…wengi hawatoamini
Duh tunachezewa kama kete za kwenye bao
Watu wanateswa sn na huu utawala dhalimu
Safi sana mkuuKwa Hisani Ya Watu Wa US Nitairudisha