Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,706
Tume ivamie imekua jeshi!
Jeshi uwa linaagizwa kutekeleza majukumu na anayeagiza ndiye muhusika namba moja. ikiwa vinginevyo huitwa uhasi!!!!!!!!
Tume ivamie imekua jeshi!
Kawa mungu?
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima amesema chombo anachokiongoza na kukisimamia ni Huru na wala hakiingiliwi na mtu, chama wala kikundi chochote katika kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria,amewataka wanasiasa wajiamini. Msikilize hapa akizungumza katika mahojiano Mubashara Dodoma FM
Mtayarishaji wa kipindi hakuwa na jambo jingine LA maana LA kufanya na nani alilipia gharama za kurusha utumbo huo?
Mbona anasemea mafichoni??
Mawakala wakisimamia vituoni si inabidi wawepo wa kujumlisha wirayani mikoani na taifani je wana ICT wa chadema unaweza kutuambia kwa nini walivamiwa na computer zao kuharibiwa wakati wa kujumlisha matokeo?UKAWA wameshindwa kihalali uchaguzi au haujamsikiliza? Moja ya jukumu la Mawakala vituoni ni kulinda maslahi ya Chama na Mgombea, kila hatua wakala anakuwepo na anaona.
Wakenya walipata Tume huru ila ni balaa eti hawaiamini , Tatizo wanasiasa wa Tanzania hawajiamini wanaishi kwa hisia na kuwaza kuibiwa kura. Tanzania wagombea wanaposhindwa uchaguzi, hata kama mtu kapata kura 1 na mwenzake kapata 5000 anasema wamemuibia kura wanasiasa wanatuponza sana hawaelewi siasa pia maana ya Uchaguzi.
Jeshi uwa linaagizwa kutekeleza majukumu na anayeagiza ndiye muhusika namba moja. ikiwa vinginevyo huitwa uhasi!!!!!!!!
Mawakala wakisimamia vituoni si inabidi wawepo wa kujumlisha wirayani mikoani na taifani je wana ICT wa chadema unaweza kutuambia kwa nini walivamiwa na computer zao kuharibiwa wakati wa kujumlisha matokeo?
Itakuwaje huru wakati yeye na bosi wake wanateuliwa ba Raisi kama IGP, mkuu wa magereza etc..... sijui watu wazima kusema uwongo inawasaidia nn.... waifanye iwe INEC na sio NEC.....
Na usomi wake na akili zake timamu anatamka maneno kama hayo!!!.Je hiyo kazi ya ukurugenzi ulishindanishwa na nani ili kuipata !! Endelea kuwadanganya Wadanganyika wasiojielewa!!.
vipi pale mawakala wanapotolewa kibabe na polisi arafu hakuna mtu anayejali tena wakihoji masuala ya msingi, still mzee kazi bado ipo labda kama hujawahi kushuhudia hiv vimbwanga..UKAWA wameshindwa kihalali uchaguzi au haujamsikiliza? Moja ya jukumu la Mawakala vituoni ni kulinda maslahi ya Chama na Mgombea, kila hatua wakala anakuwepo na anaona.
Usijifanye kusahau figusu zote zilizotokea!! Hatutaki kusema mengi!!!!!Tafakari sawasawa! Kwani Uhuru unaletwa na kigezo cha kushindanishwa?
hivi mtu asiposhindanishwa hawezi kutekeleza majukumu yake na kusimamia sheria za nchi kwa misingi ya Haki na Kweli? jiongezee aisee
Uhitaji uchunguzi wowote kuona matendo / kazi ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wa chaguzi zetu. Na hakuna kazi / tendo lolote linaloweza kufanyika bila kuwa na order ya mkuu wao. Ndiyo maana kama ni jambo zuri anasifiwa aliyetoa mkuu wao order na kama ni baya vile vile ananyoshewa kidole mkuu wao aliyetoa order.Mkuu bora ujipe muda wa kufuatilia kwa kina namna chaguzi za Tanzania zinavyoendeshwa kwa Uhuru na Uwazi.