Ramadhan Kailima: Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni huru

Ramadhan Kailima: Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni huru

Wakenya walipata Tume huru ila ni balaa eti hawaiamini , Tatizo wanasiasa wa Tanzania hawajiamini wanaishi kwa hisia na kuwaza kuibiwa kura. Tanzania wagombea wanaposhindwa uchaguzi, hata kama mtu kapata kura 1 na mwenzake kapata 5000 anasema wamemuibia kura wanasiasa wanatuponza sana hawaelewi siasa pia maana ya Uchaguzi.
Uliwahi kugombea?
 
Kuna taasisi moja bila uchunguzi ili toa majina ya wasio na sifa ya kujiunga na vyuo......cha ajabu ikiwataja walio maliza degree ya kwanza na ya pili......
Unganisha ya hii taasisi na tume
 
Back
Top Bottom