Pole vumilia kwani ukweli una tabia ya kuuma hivyo sishangai ww ukiugulia maumivu ya ukweli.
Neno tume huru ni jina na sheria huvunjwa na alieitungaTume ni Taasisi inayotekeleza majukumu yake kwa Uhuru na inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria na ina viongozi makini na wenye weledi na wapo kukuhudumia wewe na mimi.
Aache nayeye kujitoa ufahamu, ingekuwa hulu msingemJECHA Sharif Znz
Neno tume huru ni jina na sheria huvunjwa na alieitunga
Jamani "tume huru" kama wahusika wangekuwa wanachaguliwa au kuteuliwa kisha kupitishwa na Bunge hapa ningeamini kuwa ni huru, tofauti na hapo huwezi ukaniaminisha kabisa kuwa kuna kitu kinaitwa tume huru yenye kutoa haki kwa wagombea wote.
Aache kudanganya watu huyo, tume ya uchaguzi haipo huru na haiwez kua huru kwa 7b mwenyekiti wa ccm na ambae ndie rais ndio anaeiunda hiyo tume, kwa namna yoyote ile tume haitakua huru coz lazima itekelezw matakwa ya boss wao
Kwa hiyo wewe ni unafanya maamuzi ya kikondoo?
Kupiga Kura hauendi mgombea wako anashindwa afu unadai tume sio huru.
Kura tunapiga sana lakini matokeo yanageuzwa na tume isiyo huru. Zamani mlikuwa mnajifanya vijana hawapigi kura eti wanawake na wazee ndio wanapiga na hao ndio wanaichagua ccm. Tukakata mzizi wa fitina, sasa hv tunapiga kura ile mbaya lakini bado mnagoma kukubali kushindwa. Ujue Mungu hamfichi mnafiki hapo Znz mkajisahau kuiba vizuri kwani tume ni huru. Kilichofanyika kila mtanzania alikiona.
basi ungejua vijana ndio wengi na hao walichagua wanachokipenda, afu kumbuka Zanzibar wana tume yao sio hii
Hakuna cha tume ya Znz wala ya huku. Tena hicho kilichotokea Znz ni kwa kuwa hiyo tume iko na watu wa vyama vyote ndio maana uwizi ulifahamika na hatimaye nguvu kutumika. Ili hii tume ya huku kwetu yenyewe kwa kuwa ni ya wanaccm tu ndio maana wanafanya watakavyo.
Una ushahidi wa haya unayoyasema?uchaguzi wa Bara unasimamiwa na NEC na Znz ni ZEC
Uhuru wa tume unatoka wap wakat viongoz wake wanateuliwa na rais kama boss wao...na ikiwa boss akataka ufanye jambo kwa maslah yake utaanzaje kugoma
Hakuna uhuru hapo