Asituone sisi ni wajinga. Bora afunge bakuli lake.
"sisi" wewe na nani? nani kasema mlikua wajinga? Kwa taarifa yako Watanzania wana akili sana na ndio maana wanafanya maamuzi magumu!
Ashashiba Huyo Akae Kimya Tz Hakuna Tume Huru
Umepata dawa ya kupunguza makali ya unga?
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima amesema chombo anachokiongoza na kukisimamia ni Huru na wala hakiingiliwi na mtu, chama wala kikundi chochote katika kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria,amewataka wanasiasa wajiamini. Msikilize hapa akizungumza katika mahojiano Mubashara Dodoma FM
Asituone sisi ni wajinga. Bora afunge bakuli lake.
muache ende huko akanywe gongo. yupo hapo kwa ajili ya CCM tu na hiyo kadi ya ccm mfukoni mwake ni ya nn
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima amesema chombo anachokiongoza na kukisimamia ni Huru na wala hakiingiliwi na mtu, chama wala kikundi chochote katika kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria,amewataka wanasiasa wajiamini. Msikilize hapa akizungumza katika mahojiano Mubashara Dodoma FM
tunachangiya hivyo kwasabaubu anaongea maneno yakileviHivi hatuwezi kuchangia kwa staha jamani mpaka tuseme maneno ya ovyo?
Ashashiba Huyo Akae Kimya Tz Hakuna Tume Huru
tutumie lugha ya staha, sio vizuri kusema maneno ya kuudhi kwa viongozi wetu
tunachangiya hivyo kwasabaubu anaongea maneno yakilevi
Ni kiongozi wako na sio kiongozi wangu.
Kawa mungu?mimi nimetoa maoni yangu hata kama sio kiongozi wako sio busara kutumia luhga za kuudhi tumuogope Mungu jamani