Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
TuwaombeeKuna watu wanaboa bila matusi sijui hawaishi?
TuwaombeeKuna watu wanaboa bila matusi sijui hawaishi?
Katiba hii mbovu mliyo amua kuikumbatia hamuifuati katika vitu vilivyo na maslahi mapana na taifa, ila linapokuja swala la kuwanyima haki kundi fulani mnaikumbatia na kuiona bora.Katiba huwa inafanyiwa amendment na kifungu kiletacho ukakasi huweza kuondolewa au kufanyiwa maboresho.Ila katika hili kwakuwa walioshika mpini wananufaika, pendekezo hilo huwa hawataki kulisikia.Ndiyo! Na hii ni kwa Mujibu wa Katiba! unasemaje sasa maana Katiba yako ndiyo inaamua juu ya viongozi wa Tume.
UTENDAJI UPI HURU HAPO UPO NA UMETEULIWA NA MTU, MAN ALONE.KWANI KASEMA TUME HURU YA UCHAGUZI AU NA WEWE HUJASIKILIZA NA KUELEWA? KASEMA TUNA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA AKASEMA UTENDAJI WA TUME NI HURU KWA MAANA YA KUTOINGILIWA KATIKA KAZI ZAKE.
JENGA HOJA YAKO KUTOKEA HAPO USIPOTOSHE
UTENDAJI UPI HURU HAPO UPO NA UMETEULIWA NA MTU, MAN ALONE.
UNAJUA WATZ. WENGI WANA ULEMAVU WA AKILI WALIOTENEGENEZEWA NA WEWE UNA AMINI KWELI UTENDAJI WA TUME YA UCHAGUZI NI HURU AU UMEZALIWA JANA?
UCHAGUZI UPI KTK JMT ULIKUWA HURU NA UTENDAJI HURU TOKA 1995?
ila sisi watanzani tunapenda sana kusemasema
maneno mengi na uongo mwingi na tukibanwa tuthibitishe tunakua zero
Kwa hiyo wangeshinda UKAWA utendaji ungekua huru au sio!
Hizo ni NDOTO za mchana chini ya mfumo wa CCM,mfano HAI chukulia Tz. Visiwani (Z'bar) nini kilitokea siyo kama Jecha kapewa maelekezo tu.Kwa hiyo wangeshinda UKAWA utendaji ungekua huru au sio!
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima amesema chombo anachokiongoza na kukisimamia ni Huru na wala hakiingiliwi na mtu, chama wala kikundi chochote katika kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria,amewataka wanasiasa wajiamini. Msikilize hapa akizungumza katika mahojiano Mubashara Dodoma FM
Kama kweli kwa nini Tume ilikuwa na wasi wasi hadi kuwavamia watu waliokuwa wanafuatilia matokeo ya urais ya nchi nzima?????????????? Ahaa BW. Kaihilima si mugewaacha tu mkaendelea na taratibu za tume za kukusanya matokeo rasmi bila kuwabughudhi maana lingekuwa kosa tungeliona mwisho wa mashitaka yakiendana na adhabu husika.
Pls wacha kutonesha majeraha tuendelee na amani yetu. Uchaguzi hadi 20120 mind you no kufanya siasa like mikutano ya hadhara as well.
porojo la kula bangi tuMkuu unahitaji muda kujifunza historia ya Tume ni hivi Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilianzishwa tarehe 13 Januari, 1993, kwa mujibu wa Ibara ya 74 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 baada ya kurejeshwa kwa Mfumo wa Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania mwaka 1992.
Kwa mujibu wa Ibara ya 74 (7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Idara huru inayojitegemea. Aidha, Ibara ya 74(11) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa Tume katika kutekeleza majukumu yake ya Kikatiba haitalazimika kupokea maelekezo au amri kutoka kwa mtu yeyote au Idara yoyote ya Serikali au kufuata maoni ya Chama chochote cha Siasa.
Ukipitia taarifa mbalimbali utaona Majukumu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yameainishwa katika Ibara ya 74 (6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kama ifuatavyo:
(i) Kusimamia na Kuratibu Uandikishaji wa Wapiga Kura katika Uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano;
(ii) Kusimamia na kuratibu uendeshaji wa Uchaguzi wa Rais na Wabunge;
(iii) Kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi wa Wabunge;
(iv) Kusimamia na kuratibu uandikishaji wa Wapiga Kura na uendeshaji wa Uchaguzi wa Madiwani; na
(v) Kutekeleza majukumu mengine yoyote kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge.
Majukumu mengine ya Tume kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa ni pamoja na yaliyotajwa katika kifungu cha 4C cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, ambayo ni:-
(i) Kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa nchi nzima, kuratibu na kusimamia watu wanaotoa Elimu hiyo; na
(ii) Kuteua na kuwatangaza Wabunge na Madiwani Wanawake wa Viti Maalum.
wee tizama hawa polisi kweli hawa ni polisi au nikitengo cha ccm sioni kazi yoyote yakipolisi ikifanywa zaidi ya ukereketwa wa ccm